VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA hatimaye kimepata Katibu Mkuu. Katibu Mkuu huyo mpya atajaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr. Wilbrod Slaa aliyejiuzulu nafasi hiyo mwaka jana.
Mchakato wa kujaza nafasi hiyo umechukua muda mrefu,na sasa umekamilika. Nyaraka nyeti za CHADEMA zilizotua Lumumba zinaonesha kuwa Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA ni msomi,mjenzi wa hoja na mwana-CHADEMA kwelikweli.
Kwakuwa mimi ni mwanademokrasia,nalihifadhi jina la mteuliwa huyo. CHADEMA imefanikiwa kuruka viunzi vya ukanda na ukabila. Atawekwa hadharani hivi karibuni. Mteuliwa ni kiboko. Hana mawaa wala madoa. Hongereni watani!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam