CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

Jf ni chanzo rasmi, au wewe ndio sio rasmi

Hujanielewa, ninaposema chanzo rasmi, habari inaweza kuwa ipo JF sawa, lakini ni nani mleta habari. Maana kwa matokeo ya uchaguzi aliyetakiwa kuyatangaza ni Tume ya Uchaguzi na sio mwananchi aliye eneo husika kutuletea habari hiyo. Huo ndio u-rasmi ninaouzungumzia
 
Huu uchaguzi umefanyika lini jamani, Chadema sasa imeimarika

 

You r right mkuu, haya matokeo yanayotoka Ijumaa...mmmhhh
 
Haya matokeo si rasmi mpaka Nape ayaone kwanza.

 

Musoma mjini ni "dangerous". Mtu kapigwa 179 bilaaaa !!!
 
Mbona tume ya uchaguzi haiongelei kabisa haya matokeo. Maana mimi ninayapata kupitia katika vyanzo ambavyo sio rasmi tu
wakishamaliza kushangaa na kuwazika /kuuguza wenzao waliopatwa na mashinikizo ya damu ghafla watazungumzia tu!
 

Kinana kinasema haya matokeo hatuyakubali kwa sababu hayaendani na matokeo ya uchaguzi uliopita!! Maccm bwana!!
 
Waiter!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bia baridi tafadhali waambie na huko jikoni waaniandalie na nusu mbuzi ni sherekee na kamanda wangu hapa
 
Kinana kinasema haya matokeo hatuyakubali kwa sababu hayaendani na matokeo ya uchaguzi uliopita!! Maccm bwana!!

Ajabu lazima wapige zengwe kwenye uapishaji Kama walivofanya awamu ya kwanza.Ndo waamini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…