CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Imani Minja

Member
Joined
Nov 13, 2007
Posts
21
Reaction score
10
Taarifa Nilizozipata Kutoka kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga na Kwa Baadhi ya Makada wa CHADEMA ni kwamba CHADEMA kimeweka Pingamizi kwa Mgombea wa CCM.

Ni pingamizi gani naendelea kufuatilia nikipata nitawajuza.
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.
 
Unatudanganya, mbona hajatoga masikio kama sioi. Wewe utakuwa CDM.
 
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.
 
Hahahahahaaaa kumbe huyu ni mkimbizi safi sana futilia mbali ako kajambazi kanakochipukia
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani
 
ni kweli!mbona alikuwa haishi hapa tz! Alikuwa anaishi uingereza miaka mingi tu! Tena ana kesi mahakamani alikimbilia uingereza mahakama inamtafuta.!

Dooh basi kimenuka. Wanasema ukitaka kuingia Siasa hakikisha wewe ni msafi. Yale yale ya Kihiyo yanakuja
 
Sidhani kama linaweza kufanya kazi.All animals have equal rights but some animals have more rights than others!

Huo ndo ukweli wenyewe. Siku hizi kuuthibitisha uraia wa mtu ni mama yake tu akubali. Si uhamiaji wa maccm uweze kumdhuru ccm. Bashe alikubaliwa baada ya uchaguzi. Mpaka leo Bashe ni msom-tanza. Kabila jipya sana Tanzania.
Ukitaka maisha saafi Tanzania, jiunge na ccm.
Kitambulisho ni shati la kijani tu.
 
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.

kwa hiyo ataishi London kama wengine wanavyoishi Dar es salaam wkt sio majimbo yao.ila safi Tanzania kila kitu kinawezekana.nini hata pale magogoni ukiaply mapema sehemu ya kufanyia bday part unapata eneo la bustani saafi.so huyo mginwa Jr atashinda tuu na atakuwa mbunge.sheria zimewekwa ili zivunjwe.
 
Back
Top Bottom