Shughuli inaanzia Mkoa wa Mara next week, tukitoka hapo tunapuliza dawa nchi nzima. Hujasikia mkuu hayaland?M4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.
M4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.
Hii ni Habari Nzuri sana, Ukizingatia Chadema inakwenda kuchukua Dola 2015 kwahiyo ni vizuri kuwa na mtu wa kupata na kutoa taarifa za upande wa Zanzibar.
Kwakuwa sasa tunaelekea kwenye serikali tatu ni vema Chadema ikaongeza Ushawishi wake upande wa Zanzibar kwa kuwekeza kwenye Human resource upande wa Zanzibar.
Hizi mbinu za Chadema, na counter attack ndizo zinazowafaanya mafisadi wasilale usiku.. Watumie pesa nyinyi sana kwa watu wasio na msimamo ndani ya Chadema wakidhani watafanikiwa kumbe wameliwa..
Ko na magamba nayo yanaruhusiwa kuomba hizi nafasi
M4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.
John kwa uzushi bana.Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.
Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
chadema, tumaini la watanzania
Ni lazima awe Kamanda mkuu