Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Jump before you're pushedHiyo ni hit first kuogopa aibu ya kukimnbiwa live kwenye TV!
Mwenyewe mleta taarifa ameficha ficha makosa ni yapi?Huyu ni mwl lyata bila shaka... Ama ni mwingine amewahi fundisha Njombe secondary
pia alinifundisha irambo sec.Huyu ni mwl lyata bila shaka... Ama ni mwingine amewahi fundisha Njombe secondary
Usaliti ni laana .Aende akaungane na wale wauaji
Comment ya jamaa mmoja anaye nfahamupia alinifundisha irambo sec.
Kumfuata mwishimiwa hata mimi namwacha mke wangu kumfata mwishimiwa!!!!Mwenyewe mleta taarifa ameficha ficha makosa ni yapi?
Usaliti ni laana .
Ndio maana pamoja na viroba vyenye miili kutupwa deep sea bado siri inafichukia coco beach .........
........Bahari haikai na UCHAFU ...TUNASONGA MBELE
mkuu kumuacha mke ni laana moja mbaya sana, pia bado umfuate mtu mwenye laana pia, huoni utakua na laana mbaya na itakua hamna wa kukutoa ispokua mungu pekee.!?8)Kumfuata mwishimiwa hata mimi namwacha mke wangu kumfata mwishimiwa!!!!