Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
TAARIFA KWA UMMA
Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi hii kuanzia leo, tarehe 25 Agosti 2025.Imetolewa leo Jumatatu, 25 Agosti 2025
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi