CHADEMA yamshitaki Mkuchika kwa AG

waziri anatumia madaraka yake vibaya na hii ita catch up naye soon or later. Hawez kuvunja sheria na kuidisgrace katiba na kutokomea bila kuwajibishwa.

Mshitakiwa : Ngedere.

Mshitaki : Binadamu.

Hakimu : Nyani.

Mwendesha mashitaka : Tumbili.

Karani wa mahakama : Kima.

Ngedere kakamatwa shambani kwa binadamu akiiba mahindi, unategemea jopo hilo litatenda haki kwa binadamu? Au unafikiri litaona aibu likilaumiwa kuwa uamzi wao umepindishwa kumpendelea ngedere? Kichaa haoni aibu kutembea uchi.

Lilipo ni binadamu kumpa ngedere kichapo hukohuko shambani halafu yeye aende kwa washikaji zake kishitaki.

Huyu waziri ni wa kufukuza kazi au ajiuzulu mwenyewe yani ni bogus kabisa mbona hakusema Rostam nae aendelee kuingia bungeni na kupata posho baada ya kuachana na sisa uchwara za CCm mpaka pale uchaguzi mdogo utakapofanyika. Huyu waziri yani hata uwezo wake wa kufikiri umezeeka kabisa.

Nawapongeza Chadema kwa uamuz waliouchukua. Hii itasaidia kuwa rahisi kuishtaki serikali kwa Wananchi.

Nawapongeza Chadema kwa uamuz waliouchukua. Hii itasaidia kuwa rahisi kuishtaki serikali kwa Wananchi.

Chadema wangechukua hatua ya juu zaidi kuishtaki serikali mahakamani kwa kukiuka katiba ya nchi.

Mkuu kweli unachokisema niche tukingojee ili Mae warema taupe upeo wake wa kisheria na hekima na busara eke kwa msingi wa maendeleo ya watu wa Arusha na kwingineko niching watakao kumbwa na hadhama Kama hiyo, nasijui kwanini serikali kwa matatizo Kama hay haipendi kuitizama suruhisho kwa kutumia kanji au sheri a za uchaguzi au kwa kutumia katiba ya nchi

My take,
Kutakuwa na mkanganyiko zaikai maana warema nae haelewiki

Kichwa cha habari kinasema "CHADEMA yamshitaki Mkuchika kwa AG", Mbowe anasema "Tumemwandikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoe ufafanuzi wa kina wa kinachofanyika ndani ya serikali yake, kama hiyo ni misingi ya sheria, au atoe ushauri wa kisheria kurekebisha udhaifu uliojitokeza,"

Mbona mnapotosha habari kwa kuweka vichwa vingine na habari nyingine? Au ndio waandishi ya yale magazeti ya ki masaburi?

Hii sinema itavutia siku ya kikao kijacho cha madiwani......kabla ya hapo sio rahisi kutegua kutendawili hiki.

Kama na wewe hufikirii kwa kutumia 'masaburi' weka hapa 'definition' ya kushitaki. Ukishindwa basi hakika fikra zako zipo katikati ya masaburi

Dah sijawahi kuona kitu kama hii, yaani siyo wanachana na bado wanahudhurie vikao kama madiwani? Hapa nadhani Waziri katumia hitikadi za chama chame na si busara ya sheria na uongozi!

Hivi AG ni nani vile? CDM inahaha tu, waende wakaandamane tuone tena sinema ya Arusha.[/QUOTE
Majini wapo wengi toka waachiwe huru na sheikh yahya. wewe ni mmojawapo

Kama na wewe hufikirii kwa kutumia 'masaburi' weka hapa 'definition' ya kushitaki. Ukishindwa basi hakika fikra zako zipo katikati ya masaburi

Mbowe anasema wamuandikia AG "atoe ushauri" wewe unasema "wamemshitaki Mkuchika", which is which? amua mwenyewe ushauri na kushitaki ni kitu kimoja? Unajisaburi hivyo.

Mbowe anasema wamuandikia AG "atoe ushauri" wewe unasema "wamemshitaki Mkuchika", which is which? amua mwenyewe ushauri na kushitaki ni kitu kimoja? Unajisaburi hivyo.

Vipi Fisadi Rostam atatia Maguu Igunga au Nape Kampiga Ban?

Mbowe anasema wamuandikia AG "atoe ushauri" wewe unasema "wamemshitaki Mkuchika", which is which? amua mwenyewe ushauri na kushitaki ni kitu kimoja? Unajisaburi hivyo.

weka hapa 'definition' ya kushitaki na uache kukwepa swali langu, la sivyo funika vimasaburi vyako!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…