britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,158
- 47,716
Makubwa Tena haya, kwahio Mbeya, Mwanza, na kwingine kumejaa Wachaga?Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA
Tundu Lissu ni mwarobaini wa magonjwa yote CHADEMAUwa nikiandika wananinanga sana
1. Nilisema kuhusu Mbowe kuachia madaraka nikakangwa
2. Nikasema uhuni wa kumpeleka Lowassa CDM nikanangwa
3. Nikasema Covid 19 Mnyika na Mbowe walipanga nikanangwa
4. nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !
Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA
Narudia hata wachaga baadhi nao wamesema inatosha sasa!
Tanzania tunacheza Ana sana
Britanicca
Naungana nawe ,tumechoka na huyu Mzee aisee,tulizani tutakuwa na christma njema ila limesshaonesha dalili ya kutaka kurudi madarakani .SHAMEBinafsi me mchaga ila inatosha kweli Mbowe aondoke!!
Ccm issue ya Tundu Lissu kugombea uenyekiti inawapa insomniaUwa nikiandika wananinanga sana
1. Nilisema kuhusu Mbowe kuachia madaraka nikakangwa
2. Nikasema uhuni wa kumpeleka Lowassa CDM nikanangwa
3. Nikasema Covid 19 Mnyika na Mbowe walipanga nikanangwa
4. nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !
Kwa sasa CHADEMA SI TUMAINI LA WATANZANIA TENA NI LA WACHAGA
Narudia hata wachaga baadhi nao wamesema inatosha sasa!
Tanzania tunacheza Ana sana
Britanicca
Ni shida sana mkuu, I'li takiwa akae pembeni, apishe mawazo mapya,Naungana nawe ,tumechoka na huyu Mzee aisee,tulizani tutakuwa na christma njema ila limesshaonesha dalili ya kutaka kurudi madarakani .SHAME
Hata mke na watoto wamemwambia yatoshaBinafsi me mchaga ila inatosha kweli Mbowe aondoke!!
Msome vizuri hajasema wachaga wote ni wachache wenye maslahi mbeleMakubwa Tena haya, kwahio Mbeya, Mwanza, na kwingine kumejaa Wachaga?
Pesa ya kula watapata wapi?kumbuka hawa watoto hawana kaziHata mke na watoto wamemwambia yatosha
Walifukuzwa mbona tena uliumbuka na ukakimbia uzi wako.nikaandika kwamba Covid 19 hawatafukuzwa CDM ni kiini macho watu wakaninanga sana !
Hoyo sio familia masikini, ukienda kuzimu umuulize Nyetere kuhusu Mbowe familyPesa ya kula watapata wapi?kumbuka hawa watoto hawana kazi
Atoe kote koteAkigombea ester bulaya nampigia kura naye anipe😋