Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 892
- 536
Ni wazi kuwa chama hiki kimemezwa na UKAWA na hakuna dalili za kujenga chama nje ya UKAWA uchaguzi mkuu umekaribia sana kimekalia harakati za UKAWA sasa waesabu maumivu maana watachelewa.