Wachangiaji mbalimbali walitoa ushauri kuwa CHADEMA ihame kutoka
www.chadema.net iwe na domain name yenye jina la kitanzania. Naona wamekubali ushauri huo na sasa wanapatikana kwenye
www.chadema.or.tz. Naona pia wametangaza rasmi kuwa kwa wale wenye simu za Zain na Voda wanaweza kuchangia ama kujiunga kwa kutuma neno CHADEMA kwenda namba 15710. Hongereni
Asha