Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,638
Yaani nimekaa nikawaza Mpaka sasa Chadema ina Ajenda moja tu Ambayo ni MCC.
Ufisadi imekufa
Safari za rais imekufa
Serikali kubana matumizi imekufa
Matumizi mabaya ya fedha imekufa
Ukubwa wa baraza inekufa
Matumizi mabaya ya mali ya umma imekufa
Elimu bure imekufa
Wizi serikalini imekufa
Ishu ya
Bandari
Tpdc
Tanesco
N.k
ZOTE ZIMEKUFA.
Cha kusikitisha hata ile ya mshahara wa Rais nayo imekufa....
Ufisadi imekufa
Safari za rais imekufa
Serikali kubana matumizi imekufa
Matumizi mabaya ya fedha imekufa
Ukubwa wa baraza inekufa
Matumizi mabaya ya mali ya umma imekufa
Elimu bure imekufa
Wizi serikalini imekufa
Ishu ya
Bandari
Tpdc
Tanesco
N.k
ZOTE ZIMEKUFA.
Cha kusikitisha hata ile ya mshahara wa Rais nayo imekufa....