Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
asante sana kwa taarifa nzuri chadema chama makini kinachojali wananchi siyo maccm majambazi na wanafiki wakubwaaa
hiyo ndo cdm bana....
Kweli iko juu kama ya twiga.Sasa 2015 nisipoipigia chadema kura nitakipigia chama gani? chadema iko juu.