CDM kimeshinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji cha Burifani, Kata ya Kyaka, wilaya ya Misenyi, ambacho ni makazi ya Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshana. Mgombea wa CDM, Deogratias Laurian, alipata kura 401 dhidi ya kura 129 za Mathias Kibarwiga wa CCM. Placid Vedasto wa TLP alipata kura 2.
Habari zaidi soma Mwananchi la leo uk.9. HONGERA CHADEMA
Hahahahaaa......Toeni ujinga hapa kila ukisema kamji kamekakamaa useme kwenu wapi usikute we wa Singida alafu unachonga.
Wahaya bana majigambo mengi nlipofika bukoba sikuamini macho yangu kamji kamekakamaaaa,na usomi wao wa kinafki wengi ni wabinafsi .
Toeni ujinga hapa kila ukisema kamji kamekakamaa useme kwenu wapi usikute we wa Singida alafu unachonga.

Hongera CDM kwa ushindi Watanzania tunawasubiri mtawale wakati wowote CCM wameshindwa wakabidhi nchi kwenu.
Natangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge kupitia CDM, wapenda maendeleo naombeni ushirikiano wenu.
Tutafika kweli.......Maandalizi ya kimbunga 2015
idd amin, hii ilikuwepo jana