Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Kama Dkt Slaa alipata watu wachache mara ya mwisho basi Kitila Mkumbo afanye kazi ya ziada kuwavutia watoto kwenye mikutano yake kama kutumia muziki,kugawa chama na juisi ya kijoti kuwavutia watoto asipoangalia hata hao watoto atawakosa.
makamanda kanyagieni hapo hapo..
Na ligi ishaanza sijui itaalikwa timu gani kuokoa jahazi, manake Simba ya Rage ishajipaka mav.i mwili mzima, Pigeni kazi makamanda! MUNGU awatanguli muingiapo na mtokapo.
Makamanda wawe makini maana yule punguani mwenye jimbo anaweza fanya lolote.....The means will justfy the end.....
All in all good move God bless CDM....
unahitaji kuitumia akili yako vizuri, ebu jitahidi kuifikirisha kidogo, kwa nini Mwigulu aliamua kualika timu ya simba, lengo lilikuwa kuzuia watu wasihudhurie mkutano lakini bado wakahudhuria, Mwigulu anaijua vizuri CHADEMA na anaiogopa kuliko ujuavyo weweKama Dkt Slaa alipata watu wachache mara ya mwisho basi Kitila Mkumbo afanye kazi ya ziada kuwavutia watoto kwenye mikutano yake kama kutumia muziki,kugawa chama na juisi ya kijoti kuwavutia watoto asipoangalia hata hao watoto atawakosa.
mie nilijua wamesimikwa. kumbe wamejisimika! hiyo haina tofauti na mwanaume anayejiburudisha kwa viganja vya mikono yake baada ya kukataliwa na mwanamke
Wanamwaga ndoo ya maji bagarini jamaa wanavituko
Bagarini ndiyo nini?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinatishia kukitokomeza CCM katika jimbo la Iramba Magharibi.
CHADEMA kimeanza operesheni kubwa katika jimbo hilo ambapo imefanyika mikutano mfululizo katika Kata za Ndulungu,Kaselya na Kidaru.
Chama hicho leo kitashambulia kata ya Mtoa na kuanzia kesho kitawasha moto katika kata za Kiomboi,Ntwike,Shelui,Ndago,Kinampanda,Mgongo na Tulya.
Operesheni hiyo kubwa inaongozwa na Makamanda wa CHADEMA ambao ni Dr Kitila Mkumbo,Jesca Kishoa maarufu kama Iron Lady,David Djumbe na Makamanda wengine wa Singida.
Kwa hali inavyoonekana Chadema imeiva zaidi jimbo la Iramba Magharibi kuliko jimbo lingine lolote katika mkoa huo.Mamia ya wananchi wanachukua kadi za chama katika kila Kata na matawi yanafunguliwa mfululizo.
Pia kuna taarifa baadaye mwaka huu CHADEMA itakuwa na mikutano mfululizo zaidi ya 100 katika Jimbo hilo.[/QUOTE
Hali ya CDM IRAMBA MAGHARIBI ni nzuri mno. Mara kwa mara naenda huko na kukutana na wananchi wako na mwamko wa juu sana.
Nimekutana changamoto ya kutakiwa niwapelekee kadi na bendera watundike majumbani mwao. Nilizidiwa na mahitaji pamoja na upatikanaji wa hivi bendera kuwa mgumu hapa niko mwanza natafuta bendera.
Kitaeleweka tu.
mie nilijua wamesimikwa. kumbe wamejisimika! hiyo haina tofauti na mwanaume anayejiburudisha kwa viganja vya mikono yake baada ya kukataliwa na mwanamke
Typing err baharini
Kama Dkt Slaa alipata watu wachache mara ya mwisho basi Kitila Mkumbo afanye kazi ya ziada kuwavutia watoto kwenye mikutano yake kama kutumia muziki,kugawa chama na juisi ya kijoti kuwavutia watoto asipoangalia hata hao watoto atawakosa.