CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

karibuni korogwe mjini&vijijini tufanye uharibifu opperation kijiji kwa kijiji 2013 mpsks kieleweke ................
 
Chama cha mapinduzi kitaendelea kukamata dola na kuwaachia wapinzani vieneo vidogo vidogo ili waendelee kupiga kelele
 
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani Ccm kata 22, cdm kata 5

Endelea kujipa moyo na matokeo ya udiwani tu.kumbuka uchaguzi wa madiwani wanatumia
daftari la kudumu la wapiga kura lkn kwenye uenyeviti wa vijiji wanaandikisha upya wakati
wa uchaguzi hivyo hata wale ambao hawakuwa wamehamasika wakati wa kuandaa daftari
la kudumu wanapata nafasi ya kujiandikisha. Chunguza matokeo ya chaguzi nyingi za vijiji
ndipo utajua hatari iliyopo mbele yenu.
 
Acheni uzushi, mnapozungumzia Tabora ina maana ya Tabora mjini au? kama kaliua semeni kaliua siyo cdm yajipenyeza Tabora kwa Tabora itachukua miaka endeleeni kutamba huko huko kwingine Tabora marufuku, kata 25 Diwani wa CDM 1 tena aliyejiunga na CDM siku ya mwisho ya uteuzi baada ya ccm kuteua mtu aliyekuwa hatakiwi. lakini pia si vibaya mkijua hadi sasa ninapoa ndika vijana wa ccm vyuo vikuu wa Tabora wameenda kutalii serengeti kama mna mawasiliano na wenzenu wowote waliopo Tabora waulizeni. Tabora ni CCM! take it from me!
 
Ukiona chadema imepata ushindi mahali ujue kuna wachaga au wakristo wengi maeneo hayo

Kama kwa Zzk?na kama ni hivyo,basi jamaa wanaakili sana,maana huwezi kuwa mTz unaakili timamu,halafu ukaacha kuikubali na kushirikiana na waTz wenzio(CHADEMA)ili kuwatoa wakoloni(ccm)waizi.
AkIli @all.
 
Kanyaga twende; wachawi watabaki nyuma. Hii ndiyo kazi inayotakiwa badala ya kuanza kufikiria ikulu.
 
Acheni uzushi, mnapozungumzia Tabora ina maana ya Tabora mjini au? kama kaliua semeni kaliua siyo cdm yajipenyeza Tabora kwa Tabora itachukua miaka endeleeni kutamba huko huko kwingine Tabora marufuku, kata 25 Diwani wa CDM 1 tena aliyejiunga na CDM siku ya mwisho ya uteuzi baada ya ccm kuteua mtu aliyekuwa hatakiwi. lakini pia si vibaya mkijua hadi sasa ninapoa ndika vijana wa ccm vyuo vikuu wa Tabora wameenda kutalii serengeti kama mna mawasiliano na wenzenu wowote waliopo Tabora waulizeni. Tabora ni CCM! take it from me!

Pole Masalia.Kaloge mpaka Panya sasa.
 
Ipo siku watu watatafunwa nyama zao mchana kweupe wakiwa hai kwa upumbaf wa CCM inaoulazimisha.Nimeishi na kukulia Tbr mjini,watu hawaipendi CCM-sema maisha yao duni,ujinga na ufukara hutumiwa na CCM kama kigezo cha kuwadanganya wakati wa uchaguzi-wenyeji wa tbr wengi elimu finyu.Sidhani kama CCM leo inaweza kuridhisha msomi na sera zake...*tusi zito mno kwa ccm*
Tuibadili Tanzania,Ondoa CCM.
 
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani Ccm kata 22, cdm kata 5
huo pia ulikuwa ushindi mkubwa sana kwa CHADEMA kwani ilifanikiwa kutetea kata zake 02 kisha kuongeza zingine 03

mathematically CHADEMA ilipanda kwa 60% ilihali CCM ilishuka kwa 11% hapo unapaonaje ??? binafsi nina raha tu maana nasikia ushindi wa vitongoji, ushindi wa rufaa zote, ushindi wa Arumeru kila siku ushindi, ushindi, ushindi tu !!!

KARIBU SANA CHADEMA hakuna BP huku !!
 
Back
Top Bottom