Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

Chadema yajipanga kimajimbo kuchukua dola!

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Posts
2,732
Reaction score
750
Chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye majimbo kumi ya nchi yetu! Watanzania tulipofikia CHADEMA tunaihitaji kama maji ya kunywa!
 
chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye majimbo kumi ya nchi yetu! Watanzania tulipofikia chadema tunaihitaji kama maji ya kunywa!
ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao, mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya mangula na uzee wake kuzomewa vyakutosha, martin luther king alijua hawezi kupambana na wale waliokuwa wakiwapinga weusi akajua njia pekee nikuwaelismisha juu y haki zao wakapata haki ya kupiga kura kisha wakajua nao wanauwezo wakuchaguliwa na leo marekani inaongozwa na mweusi. Ccm wajiandae kuachia madaraka kwa amani watanzania wameshaelimishwa na wameelimika! Peeeeeepoz!
 
chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye majimbo kumi ya nchi yetu! Watanzania tulipofikia chadema tunaihitaji kama maji ya kunywa!

ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao,

mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya mangula na uzee wake kuzomewa vyakutosha,
martin luther king alijua hawezi kupambana na wale waliokuwa wakiwapinga weusi akajua njia pekee nikuwaelismisha juu y haki zao wakapata haki ya kupiga kura kisha wakajua nao wanauwezo wakuchaguliwa na leo marekani inaongozwa na mweusi.
Ccm wajiandae kuachia madaraka kwa amani watanzania wameshaelimishwa na wameelimika! Peeeeeepoz!
 
BY NGONYA NM
ndg yangu chadema ni chama makini kiasi kwamba nape na kundi lake hawalali kila siku wanakuja na jaribio la kukichafu cdm macho pa watu lakini matokeo yake wanachafuka wao na chama chao,

mikakati mangula aliyoipanga kule iringa yakukichafu chadema iliishi kwenye aibu kubwa ya mangula na uzee wake kuzomewa vyakutosha,
martin luther king alijua hawezi kupambana na wale waliokuwa wakiwapinga weusi akajua njia pekee nikuwaelismisha juu y haki zao wakapata haki ya kupiga kura kisha wakajua nao wanauwezo wakuchaguliwa na leo marekani inaongozwa na mweusi.
Ccm wajiandae kuachia madaraka kwa amani watanzania wameshaelimishwa na wameelimika! Peeeeeepoz![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom