The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,263
Hivi bado tunawaza CCM itakuja kuondoka madarakani 2020?...hebu tuwaze mengine...
Mbowe ana bei dogo!EL kamnunua.Huko ugambani MBOWE kutokuwa na BEI anawakosesha AMANI kweli kweli
nitajie faida 2 tu ulizopata tangu uanze kufanya uongo .Mbowe ana bei dogo!EL kamnunua.
Uongo upi kumsafisha Lowassa.nitajie faida 2 tu ulizopata tangu uanze kufanya uongo .
Lowasa kagawa pesa nyingi sana inaonekana. Jamaa ni kapi la ccm. Na ijulikane kama asingekatwa ccm angebaki kuwa fisadi mschoni pa cdm.Lowasa anaingiaje hapo? Hii ni mipango ya Katibu Mkuu CHADEMA, Dr Mashinji. Na hizi kauli ndo zitakuwa zinamvunja moyo, mipango apange yeye sifa apewe mwingine.
Lete bei yake mpu***z weweMbowe ana bei dogo!EL kamnunua.
Kumbe ni mikakati ya Lowasa and si ya chama? Nadhani imeanza kufuata msingi wa chama tawala - maamuzi kuanzia chini: shina, tawi, kata, wilaya, mkoa, taifa.Hapa Ndipo ninapo Mvulia Kofia Ndugu Lowassa. Huyu ni Bonge la Kiongozi, kwa Mipango yake na Mikakati yenye Dira hakika Chaadema Kitafanya Kazi Nzuri sana.
Wajipange Vizuri katika Almashauri walizozipata, wawatumikie wananchi kwa ufanisi Mzuri na Maendeleo yaonekane yasiwe Midomoni, wapange kamati moja ya Kutoa Mrejesho kwa Wananchi kwa kazi walizozifanya na Mafanikio yaliyo waletea wananchi husika katika miji na Majiji wanayo yaongoza.
Chama kishuke sasa kwa wananchi, kiwe karibu na Wananchi kwa kuonyesha Dira kama Chama kinachotafuta kuongoza Dola.
Kaelekezwa na mmiliki/ mwenye mali - Lowasa, hivyo lazima aseme yeye katibu, maana Lowasa bado hajawa msemaji wa kampuni yake.Lowasa anaingiaje hapo? Hii ni mipango ya Katibu Mkuu CHADEMA, Dr Mashinji. Na hizi kauli ndo zitakuwa zinamvunja moyo, mipango apange yeye sifa apewe mwingine.
teteeee...tatizo huwa mnajivua ufahamu. lini chadema ikawa ili ile...? umesahau chadema inavyokwenda na wakati wa mbadiliko na kuilazimisha ccm kutumia nguvu za dola kubakia madarakani huku mkitumia sera za chadema kutawala?hata mtembee kichwa chini miguu juu: CHADEMA ni ile ile ya kisanii.
Kijana unapoelekezwa tulia,usipanik