Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,340
- 283,369
- Thread starter
-
- #101
chadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?
nitake radhi kwa kunifananisha na chama kilichoshindwa kuwaletea watanzania maendeleo kwa miaka hamsini kabla sijaanza kukuporomoshea matusi.tunajiandaa kuwachapa viboko polisi na TISS wanaowabeba tutakutana 2015 habebwi mtu hapo nondo kwa nondo MACCM mumezoea
mgonjwa wewe subiri na muonenitake radhi kwa kunifananisha na chama kilichoshindwa kuwaletea watanzania maendeleo kwa miaka hamsini kabla sijaanza kukuporomoshea matusi.
chadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?
Mkuu Mimi ntAkuunga mkono tutaftane nipo apa jijini mbeyaHapana silas A.K
Kwa sasa nipo mara moja nje ya Kyela lkn nitakuwa Kyela weeks 2 zijazo na nitarudi hapo for good!Nitagombea udiwani 2015 na nina option kwenye kata 3 na zote nitashinda!
Kwa baba yangu Kata ya Mwaya;kwa Mama yangu kata ya Ikimba na sehemu.niliyo soma na kukulia Kyela mjini!
Imani yangu ni kuwa Kyela tunazidi kuwa maskino sababu ya ulaghai wa CCM hasa walaji pale BOMANI!Niunge mkono pls
sugu wanambeya tumemchoka
Peleka ubaguzi wako jehanamu pimbi we we. Mi ni mnyakyusa nipo Mbeya ila naongea ukweli arusha ulilula 5 omkuu Arusha mjini ni kajimbo kamoja tu kati ya majimbo zaidi ya 250 ya nchi nzima. sijui kama utanielewa lakini. akili zako zisiishie kufikiria mwisho mlima meru tu.
Kinachowasumbua watu hao ni uoga na kutokujiamini baada ya kutishwa kidogo,pia wengine wanadhani bado nyerere anaishi.hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ccm inapendwa mahali pasipokuwa na maendeleo ? maana kama kufaidi walifaidi wale ambao wameendelea , lakini why walio nyuma tena mno ndiyo wanaikumbatia ?
Imefifia kwel nikikumbuka arusha rule mkono Kwa nunge kweli imefifiachadema inafifia mkuu. au nyinyi wenzetu mnatumia indicator zipi kupima kuimarika kwa chama? kata 3 chopa 3. chalinze 10% kalenga 20% pamoja nguvu yote mliyowekeza. hamjajifunza tu kitu hapo?
we kinyesi ukiwa msukule usifikiri kila umuonaye ni msukule kama wewe. fa.la we.Peleka ubaguzi wako jehanamu pimbi we we. Mi ni mnyakyusa nipo Mbeya ila naongea ukweli arusha ulilula 5 o
kweli nimeamini wewe ni mbwa.mgonjwa wewe subiri na muone
sijawahi kujiuliza. wewe ulishajiuliza?hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ccm inapendwa mahali pasipokuwa na maendeleo ? maana kama kufaidi walifaidi wale ambao wameendelea , lakini why walio nyuma tena mno ndiyo wanaikumbatia ?
acha longolongo,mbona habari za kalenga tu? Huongelei chaguzi za serikali za mitaa ambazo zinatoa taswira yakinifu kwa sababu wapiga kura waliandikishwa upya? Huku Mwanza zilifanyika katika wilaya za Sengerema na Magu na nikudokeze tu kuwa ccm iliangukia pua! Tumejipanga kuifuta ccm katika majimbo yote ya mikoa ya Mwanza,Mara,Geita na Kagera.
sijawahi kujiuliza. wewe ulishajiuliza?
mtakutana kwenye kapu la kura. maana wengine wanajua kuchonga sana kwenye mitandao.
mwishoni mwa mwaka huu sio mbali. tutaona. ila kama ni kweli uyaandikayo (maana siwaamini hata kidogo) basi ni jambo jema kwa afya ya nchi hii ya wadanganyika.
Matusi nayajua kamwe kinyesi ukiwa msukule usifikiri kila umuonaye ni msukule kama wewe. fa.la we.
sidhani hiyo kama inaapply hapa. jiulize kule Igunga mlipata kura ngapi japokuwa hamkuwa na mtaji hata wa mtu mmoja 2010? hujiulizi maswali haya? kipindi kile chadema ilikuwa na nguvu ila sasa hii chadema ina ugonjwa wa cancer uitwao usaliti na fukuzafukuza. hii ndo sababu ya chadema kufifia japokuwa hamtaki kukiri.
yaangalie haya mambo vizuri, msije mkaanza kutukana humu kama mlivyowatukana wanakalenga baada ya kuambulia patupu.
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .