Ukitaka wakusikie wapigie kabisa baragumu kama hivi; MSALANI, Lizaboni, Ruttashobolwa, gsu, Simiyu Yetu, FaizaFoxy...naona umewasahau utaifakwanza, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, mwa4, Ritz, MwanaDiwani...jumla yao ni kama misukule hamsini hivi sawa na asilimia 0.5% ya wana JF lakini wanavyokesha humu utadhani wameahidiwa pilau mwisho wa siku.Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.
CC: Msalani, Lizaboni, Rutashobolwa, GSU, Simiyu yetu, Faiza Foxy
Halafu ukijengwa msingi inakuwaje nyie malofa- CCm ikija ikaweka Tawi kwa sababu msingi tayari mtalaumu ? Maana hakuna wa kuendeleza hata msingi- maskini ukawa sori adm. Aaaaahaaaahaaaaaaaa:A S-eek::hail: CCM aja sepa ww:llama:
Ukitaka wakusikie wapigie kabisa baragumu kama hivi; MSALANI, Lizaboni, Ruttashobolwa, gsu, Simiyu Yetu, FaizaFoxy...naona umewasahau utaifakwanza, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, mwa4, Ritz, MwanaDiwani...jumla yao ni kama misukule hamsini hivi sawa na asilimia 0.5% ya wana JF lakini wanavyokesha humu utadhani wameahidiwa pilau mwisho wa siku.
ukitaka wakusikie wapigie kabisa baragumu kama hivi; msalani, lizaboni, ruttashobolwa, gsu, simiyu yetu, faizafoxy...naona umewasahau utaifakwanza, nape nnauye, mwigulu nchemba, mwa4, ritz, mwanadiwani...jumla yao ni kama misukule hamsini hivi sawa na asilimia 0.5% ya wana jf lakini wanavyokesha humu utadhani wameahidiwa pilau mwisho wa siku.
Ni kweli mkuu,misukule ipo michache sana na inahesabika.Pamoja na lumumba kulipa wapiga zumari buku7 hapa jf lakini vijana wamejitambua wamekataa kumtumikia shetwani ccm.Hakika ukombozi upo karibu
kata ya
ngonga ina wakazi wasomi sana ni tegemeo la cdm , tumeiweka kwenye ratiba next time , which is about to come , stay tuned .
waache waendelee kuwadanganya wananchi , eti jukwaani unavaa yeboyebo lakini baadaye kidogo unazama keener v8 ! Uongo wa kizamani sana !
unapoenda uko nipm
mkuu ukija mbeya town tutaftane
Chadema subirini CCM tuingie kazini maneno yenu hayo hayatakuwepo mtashika midomo wazi. Tatizo nyie Chadema kazi yenu ni kuropokaropoka tu lakini tukiingia vitani mnapigwa bao.Watanzania hawapo tayari kuwapa nchi,jimbo,kata,kijiji wala kitongoji wahuni Chadema.
Siyo Kyela tu ni Tanzania nzima ndio tunashika kasi kuingia Magogoni nafikiri umejionea chaguzi za ustarabu na uwazi
Kweli mkuu,tumeshuhudia chaguzi safi zisizo na harufu ya rushwa.Hakika CDM ni chama cha mfano Africa.
Misingi ya cdm yamwagwa kama njugu , tena ni mpaka vijijini kabisa , ubovu wa barabara za ndani , kuanguka kwa soko la mpunga kumerahisisha sana kuing'oa ccm .
Book 7 wahi huku la sivyo leo mtakuwa hamlipwi, shauri yenu.
kata ya
ngonga ina wakazi wasomi sana ni tegemeo la cdm , tumeiweka kwenye ratiba next time , which is about to come , stay tuned .
huo unaouona hapo ni MSINGI WA CDM NJIA PANDA YA KWENDA MASHINE ZA KUSAGA MPUNGA KALUMBULU .
Hapo ndipo kwetu;karibu sana na nyumba ya wazazi wa Meya wa Kinondoni Yusufu Mwenda!
Narudi kumtoa Kipeja kwenye udiwani wa Kyela mjini hata yy anajua hilo na CHADEMA tutaongoza Halmashauri!
Niungeni mkono wadau!!
Dr Mwakyembe hata kura za maoni ndani ya CCM hawezi kupita ingawa sasa wamekubaliana na mjomba wake Elias Mwanjala waachiane jimbo ili Mwanjala akagombee Mbeya mjini!