Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.
Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.
Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.
Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.
Source:Tanzania Daima.
Hapa kwetu kyela neno ccm ni tusi kubwa sana huhitajiki utaje hadharani hata bibi angu pale bujonde, mjomba pale katumba songwe hawalitamki tena,. Mwakyembe apa analijua hilo
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.
Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.
Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.
Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.
Source:Tanzania Daima.
Ha! Ha! Ha! Ha!
Kusanyeni tu masalia ila mjue mvua itawanyea tu hata pakutokea hamtapata.
simiyu yetu, mbona unaonekana tahaira bila sababu? Yani ukiona thread inahusu cdm, unachokumbuka cha kwanza ni dr slaa. Kwani dr slaa kawafanyeje ccm jamani? Alaf ukitaka kujua maccm yasiyojiamini, yakiona thread yenye msisimuko, hayawezi kutulia yakatoa mchango mzima, uwa yanaandika maneno matatu, yanakaa, yanawashwa tena yanaandika tena, yanakaa yanaandika tena,,,,yani utadhani kichaa kashika kalamu. Ebu basi tulieni japo kila thread uweke mchango wa maana ila kuropoka ropoka inaonesha hawa mijitu hawana amani, kila dakika arudi kuchungulia, aandika ,aaandika dah tulieni basi....lete mchango kamili. Ukipata ujue wangu wajulishe na wenzio.
Nashindwa kuamini kwamba Mwakyembe anapoteza umaarufu wake jimboni haraka kiasi hiki. Nini kinasababisha hali hii wakati 2010 alishinda kwa kishindo!!! na kama nakumbuka vizuri CDM walim'support'???
Hii habari inanitia shaka sana. Hiki ni kipindi cha wapelelezi kuhama vyama. Kyela wanampenda Mwakyembe. Najua hawaipendi CCM. Wanakyela wamemsihi sana Mwakyembe kuhamia CHADEMA aendelee kuwawakilisha lakini kana kawaida ya waandishi wa habari za zamani huwa watu wa misimamo sana. Mwakyembe ameng'ang'ania CCM.
Huyu Mwalunga atakuwa na mapenzi gani na CHADEMA? Nina mashaka sana na huyu atatangaza kurudi CCM miezi mitatu kabla ya uchaguzi 2015. mmh?! Mwalunga?
Ha! Ha! Ha! Ha!
tanzania daima mbona ni gazeti la udaku? huo ni usanii.Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela. Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja. Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo. Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela. Source:Tanzania Daima.
hivi Mwakyembe amemaliza kukarabati ile nyumba yake ya Bujonde ? Maana mkakati ulikuwa kuwazuga wanakijiji aonekane kwamba naye ni mkazi mwenzao ! Huku yeye anakula kuku Dar !
hakuna atakayeshangaa, unakula ugali kwa picha ya samaki sembuse chai? Josephine na Dr wanakula kuku kwa mrija wakati wenzangu na mimi mnataabika Tz. kweli akili ni mali.Mkuu asante sana kwa taarifa , japo nilikuwa nakunywa chai ya rangi tena kavu , lakini najiona kama natafuna mchemsho wa mbuzi !
Ushauli wa bure kwa Dr. Mwakyembe kwa umaarufu wake namuomba 2015 asijaribu kugombea tena kwani atauporomosha umaarufu wake maladufu sisi kweli hapa Kyela hatutaki tena ccm hata kwa AK47 huku kwetu Matema beach tumejipanga zaidi kumuondoa mkoloni mweusi ccm.Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.