wakati vuguvugu za mageuzi zilipopamba moto.....huku chuo kikuu cha dar es salaam kikiongoza kuwabeba na kusukuma magari ya wanamageuzi...nchi ikitaharuki na wengi kusema mwisho wa CCM umefika....mwanafalsafa mmoja ambaye sasa hatunaye duniani hakustuka na alisema...
"MNASHANGAZWA NA WATU KUBEBWA?? MBONA HATA MAITI HUBEBWA!!!"
Hii imetulia; lakini umesahau kuwa siri kali hii ilokunywa kikombe cha babu imeahidi mambo meeeeeeengi ambayo haijaanza kuyashughulikia; na walodanganywa wameahidi kutodanganywa tena. Hapo ndipo palipo na Muziki wenyewe!
Milembe ktk 45m itv kasema wabune wamekuwa wasemaji sana bungeni lakini ni zero kwenye majimbo yao, kumbe alikua anamsema makufuli, CDM chukua majimbo yote ya hawa magamba ya kobe, mwigulu nae kamalizwa na Bado M4C Mpaka kieleweke