IL Capitano
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 216
- 123
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo
Kwani bukene ipo tabora siku hizi?
Mwanahabari Mwenzangu ulishaonawapi konokono anashindana na duma Kwa mbio?Hii ndiyo Chadema.Wendawazimu wanaodhani watafanikiwa kuhujumu Chadema kupitia vyama vibaraka vya CCM wanajidanganya sana.
Mwanahabari Mwenzangu ulishaonawapi konokono anashindana na duma Kwa mbio?
Hizo nidalili zakukata tama hata Mbwa akishajua hapati chakula tena anabaki akizurura jelalani nakinachofuata niviroboto na utitiri mwisho nikupata kicha sasa ukiona unaaza kutapatapa nakukimbia huku na kule nidalili za ukicha hizoEti unaanzisha chama leo kwa lengo la kupambana na chama kilichojijenga kwa zaidi ya miaka 20.Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Badala ya kuanzisha chama kwa lengo la kumkomboa Mtanzania kiuchumi wewe lengo lako ni kupambana na Chadema!
Kwa habari hii leo ntalala vizuri sana sio kila mara ACT,mara Zito,mara sijui Limbu achaneni na hao watu mnawapa sifa bure tu,ili mshinde nyie Chadema habari kama hizi za ukombozi ndizi zinazotakiwa kuhubiliwa muda wote ili watu waelewe.
Asante sana kwa taarifa!
Pigeni kambi hasa hapo Bukene,Mwamala,Sigili hili jimbo lote hata diwani mmoja wa upinzani halina.
Acha kamba basi Diwani kata ya Bukene ni kutoka CDM ambae ndie mwenyekit wa chama wilaya
Diwan huyo namfaham kwa jina moja Sheikh Omary..idadi ya kata ziko15 kwahyo ni jambo linalohitaj nguvu za ziada..kwahyo kusema hakuna diwani si kweli[/QUOTE]Anaitwa nani mkuu?
Kama Kuna diwani mmoja tu jimbo zima,sasa wewe unaona kuna upinzani kweli hapo?
It's negligible!!
Unajua Bukene ina kata ngapi lakini?
All in all upinzani kushinda Bukene kwa 2015 ni muujiza.
Mkuu ule mpango wa Zitto Mnafiki wa kuingiza magari umefikia wapi? hebu nidokolee kidogo!