Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Tuonyeshe hizo kadi za CCM zilizo rudishwaChadema imefanya operesheni kubwa mkoani geita jimbo la Bukene, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita bwana Afphonce Mawazo.
Katika operesheni hiyo Wanavijiji 267 Wamerudisha kadi za CCM na kuchukua kadi za chadema.
Akizungumzia kazi hiyo Kamanda mawazo alisema "Kazi ya Mungu inaendelea Jimboni Bukene,hapa ni Vijijini sana na mababu na mabibi wamesema yatosha''.
Tuonyeshe hizo kadi za CCM zilizo rudishwa
Mbona kama vile hawawaelewi? Mmewashikisha ili muwapige picha!
Mbona kama vile hawawaelewi? Mmewashikisha ili muwapige picha!
Mbona kama hawaelewi walichopewa
Mbona kama hawaelewi walichopewa
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo
Mbona kama hawaelewi walichopewa
Tuonyeshe hizo kadi za CCM zilizo rudishwa
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki CHADEMA.
Ahsante kamanda kwa taarifa tuko pamoja.
Ninaomba sasa CHADEMA ifanye kazi kama siafu kushambulia kila kona ya Tanzania ili kuhakikisha ccm inafutika. Watanzania wanahitaji maendeleo, wanahitaji kuona kizazi chenye mwanga na matumaini mapya.
CCm imetuua sana.
Tuonyeshe hizo kadi za CCM zilizo rudishwa
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo