Mkuu, wewe ndio umeanzisha thread kutufahamisha kuwa Chadema yaingia Marekani, halafu wewe tena unatuuliza aliye na taarifa atujulishe.

Mimi nadhani hao wa huko angeachana nao kwanza! Angekazana na wa huku ambao bado wanadhan CCM ni mama yao. Ila pamoja mkuu, waeleze jinsi mali zao zinavyoibwa na serikali yao.

mkuu, wewe ndio umeanzisha thread kutufahamisha kuwa chadema yaingia marekani, halafu wewe tena unatuuliza aliye na taarifa atujulishe.
asisahau agenda ya ushoga tafadhali tunahitaji, ccm wameikataa
Mimi nadhani hao wa huko angeachana nao kwanza! Angekazana na wa huku ambao bado wanadhan CCM ni mama yao. Ila pamoja mkuu, waeleze jinsi mali zao zinavyoibwa na serikali yao.
Agenda inayompeleka ni ushoga au!!!!!!!!!!!!!!
asisahau agenda ya ushoga tafadhali tunahitaji, CCM wameikataa
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke makamanda wetu huko Washington DC.