Chadema yaimwaga ccm uchaguzi mdogo mbinga

Licha ya uzuri wa habari yenyewe, nimefurahishwa na msemo wa CCM kuangukia kisogo!
 
Uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha Amani CCM imeangukia KISOGO baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .Zama za MAGAMBA ZIMEFIKA.wajiandae kuwa wapinzani

Mkuu, maCCM hayafai kuwa hata chama cha upinzani.
 
  • uchaguzi mdogo huko mbinga,kata ya mkako,kijiji cha amani ccm imeangukia kisogo baada ya mgombea wa chadema kupata kura 58 kati ya kura 103 zilizopigwa .zama za magamba zimefika.wajiandae kuwa wapinzani

john tumbo pressure inapanda pressure inashuka!!!!!!
 
Back
Top Bottom