Chadema yaijaribu serikali.


Haya maneno yangeweza kabisa kutumiwa na makaburu kule Afrika ya Kusini kuhusu akina Mandela enzi hizo. ukitaka unaweza kuwafungulia CHADEMA mashtaka ya mauaji. hiyo "taarifa ya Inteligensia" kama ndio ingekuwa hivyo kweli, unajua polisi wangefanyaje? wangewaacha waanze kufanya hivyo ili wapate ushahidi, na kisha huo ungekuwa mwisho mzuri sana kwa CHADEMA. lakini kwa bahati nzuri hayo unayoandika ni mambo ya kutunga, japokuwa wengi kama wewe wanatamani ingekuwa hivyo kweli. hapo nyuma ilikuwa wananchi wa Pemba na wafuasi wa CUF waliouawa kwa wingi na serikali yaCCM, leo wamekuwa wananchi wa Arusha na wafuasi wa CHADEMA. CCM inakusanya damu nyingi, na damu hiyo itahitaji majibu siku si nyingi. Unaweza kujaribu kubeza tukio la Arusha kwa kebehi kama hizi, lakini nakuhakikishia pale damu inapomwagwa kwa dhuluma na ukandamizaji wa aina hii, ni kama unafunika moto kwa majani makavu
 
Kama wameweza kuua raia asiye na hatia tena kwa risasi ya moto siwezin kushangaa kuona thread kama hii hapa jamvini......lakini mungu sio wao tu mungu ni wa wote na damu za watu hawa zilizo mwagika zitakuwa juu yenu na mungu hamtamwona kamwe. Yata wafika mtalia kama mbuzi aliye potea nyikani na hamtapata msaada .......olewenu mnaye shiriki kupotosha umma kwamaslahi ya matumbo yenu na watotowenu maana hamjajua kama yanamwisho
 
taarifa za kufanya fujo na kuvamia kituo cha polisi ni danganya toto mie ni mkazi wa mwanza na nakumbuka radio SAUT ilifungiwa wakati wa kampeni kisa eti mawasiliano yake yalikuwa yanaingiliana na ndege ya rais (inaingia akilini kweli?!) yalianza kuingiliana wakati wa kampeni tu? Kumbe walijua kuna watu wa upinzani walikuwa wamefanya booking ya vipindi hivyo wangepoteza kura but la kuvunda halina ubani masha na diallo wote wakaangukia pua. Hatimaye radio saut ilifunguliwa siku moja kabla ya siku ya kupiga kura. So tumechoshwa na propaganda za kizushi za ccm. NGUVU YA UMMA HAIZUILIKI.
 
Duh! Makamanda mpo fasta!

I was a bit shocked from "bora" to "Krap" wanaCCM hawaruhusiwi kutumia hilo. Makamba atakudai kadi yao.

Kuna wanaJF wananishangaza sana, mtu anaandika paragraph nyingi ndefu halafu zote amejaza upumbavu.
 
Kuna wanaJF wananishangaza sana, mtu anaandika paragraph nyingi ndefu halafu zote amejaza upumbavu.

Ni maswala ya kutetea CHAMA hata kama kimekosea wao nikutetea tu uamuzi na masrahi ya chama
 
mwanamke malaya amejipaka wanja macho nje nje anatafuta mabwana, du mabwana wa dar wagumu mbaya sana

We will fight for our rights whatsover you fools think about since we have learnt to deal with fools like you then get ready for worse to come direct in ya asses
 
Mtaandika sana tena sana kulinda maslahi yenu. Hata hivyo mnatimiza wajibu tu ili siku ipite mpate ujira wenu. Wananchi walishaamka zamani wanajua ni nani wa kumsikiliza.
 
Nduguyangu, kunavituvingine watu wanasema busara na ukweli ni vitu vya msingi sana. CHADEMA wameandamana na kufanya mkutano wao kihalali ila kwa uelewa mdogo na kwa kufata order za wakubwa ambao mwisho wasiku wataishia pabaya Polisi wakawapiga wananchi wasio na silaha kwa risasiu za moto. jiulize, askari wasingetumia nguvu yangetokea yaliyotokea?
 
eti nae kaona kaandikaaaa...utumbo mtupu...watanzania wa sasa waelewa na cio wa enzi hizo you aniamal usio kuwa na huruma. Na tutawatoa madarakani kwa nguvu ya umma.
 
Du!! POLE ZAWADI! "Huo ni mtindio wa ubongo na taahira ya akili". "BABA wasamehe kwa maana hawajui WALITENDALO!
 
Nafikir kabla ya kupost alikuwa amekula kile kitu cha rangi ya kijani
 
Zawadi una matatizo makubwa mtani wangu. Mimi nawaheshimu sana thatha pale Thame umemwacha nani home ukaja kufanya biashara ya kujiuza huku . Ni aibu bana au kiangazi sana pale hamna sehemu ya kulima mpaka uwaaibishe ndugu zako humu ndo upate raha?.

KAMA CHADEMA ingekuwa imepanga kufanya anayosema ZAWADi siku ile nafasi ilikuwa kubwa kuliko siku zote kwani Polisi walizidiwa kwa asilimia karibu mia na ndo maana wakaanza tumia risasi za moto. Soko kuu nao walitoka kuongoza nguvu kwa wanamapinduzi kupambana na polisi. Wana arusha wana akili na wanajua walichokuwa wanataka siyo uharibifu. Jengo lililoungua la Salum Ally lilipigwa mabomu na polisi na siyo raia kwani liliungua ghorofa ya kwanza na ushahidi upo. Yaani kama watu walitaka kufanya uharibifu CRDB ingeteketea, Maduka yangeteketea, magari yangeunguzwa na ingekuewa balaa. Nasema hivi kwa sababu baada ya polisi kuzidiwa nguvu wali retreat kulinda kituo cha polisi huku nyuma waandamanaji wengi wakibaki peke yao na hawakuguza mali ya mtu kwani halikuwa lengo lao. Mimi nasema kama polisi wasingefanya fujo bado uharibifu ungekuwa mdogo na inawezekana usingekuwepo kabisa. Kumbuka vurugu kubwa zilitokea wakati CHADEMA ilihamasisha wanachama kwenda polisi kushinikiza kuachiwa viongozi wao. Ina maana kama hawa viongozi wasingetiwa ndani mkutano ungemalizika kwa kila mtu kwenda makwao ila hasira zilitokea pale walioitisha mkutano waliposwekwa ndani. Unapomweka aliyeitisha mkutano ndani wakati wanachama wamekusanyika kuwasikiliza unategemea kitu gani. uvumilivu wa wana CHADEMA wa kusubiri viongozi wao uliisha
 
inawezekana ukiambiwa kula kinyesi unakula tu.Maana ujari hata maana ya haki wewe ccm yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…