CHADEMA yaigaragaza CCM Vunjo

Naenda kijiji cha mpata jimboni kwa mwandosya mwakani nimeamua kuchakaza magamba
 
Naona sasa CHADEMA inatwanga kote kote, mijini na vijijini.
Hongereni CHADEMA!!!
 
Hongereni sana inatia moyo. Watashindanaaaaa.....................................
 
:nono: :nono:
I trust you young guys all the time,
how come we loose ballots?


Whatsgoing on?


Looks like we are in wrong direction! :ranger: How can we pull back Chadema?
😛layball: Mhh! Hard Ball! 😛layball:​
 
Kwa jimbo la vunjo ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko ccm kushinda..!
Kule kuna wachaga wenye akili... Kila mmoja ana Radio.. Wanajua matendo mabaya... Hawadanganyiki...
 
CCM + TLP aren't equal to CDM. lakini hawa wanakijiji hawafahamu kwamaba kina Shonza na Mtella washaa ondoka CDM au ni mafuriko ya "gundu" kwa CCM?
 
Huu ndio mwaka wa ukombozi kama alivyosema Dr Wilbroad Slaa.Peoples Power
 
hahaaaaaaaa........ kiongozi naona umeamua kumwakilisha Nape!!!

Mungi
Nilikuwa bado nalisanifisha bandiko langu, hapa ndio nimekamilisha kilichokuwa kichwani mwangu


:nono: :nono:
I trust you young guys all the time,
how come we loose ballots?


Whatsgoing on?


Looks like we are in wrong direction! :ranger: How can we pull back Chadema?
😛layball: Mhh! Hard Ball! 😛layball:

CC, nngu007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…