CHADEMA yaigaragaza CCM Vunjo

CHADEMA yaigaragaza CCM Vunjo

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,975
Reaction score
9,580
CHADEMA imeshinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Kilema Chini jimbo la Vunjo mkoani kilimanjaro.

Usemi wa Mjinga akijitambua Mwerevu upo matatani umeendelea kushika kasi ya ajabu.

peopleeeeezzz!!!!!

More Updates:
katika uchaguzi huo chadema ilishinda kwa kura 120, ccm kura 63 na tlp iliambulia kura 50
 
Mhhh hii kasi ya vijijini sasa itamfanya Nchemba amshirikishe hata Jaki Bawa kwenye siries inayofuata
 
Duh! Mara Bumbuli mara Vunjo. Ha ha ha! Haya bana. Ila Mkuu Mungi tupe mchanganuo kamili wa washiriki na kura.
 
CHADEMA imeshinda kwa kishindo uchaguzi wa serikali ya kijiji cha Kilema Chini jimbo la Vunjo mkoani kilimanjaro.

Usemi wa Mjinga akijitambua Mwerevu upo matatani umeendelea kushika kasi ya ajabu.

peopleeeeezzz!!!!!

asante sana mungi kwa taarifa murua ya ushindi huo huku bado tukiwa tunafurahia ushindi bumbuli huu wa vunjo unaongeza faraja zaidi.tulianza na mungu tutamaliza na mungu
 
Haki ndio njia pekee ya kujitambua kutoka hayua moja kwenda hatua nyingine,peoplesssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss Power
 
Safi sana ikiwa mnatambua umuhimu wa kura za chini ndivyo mnavyopaswa kuona na umuhinu wa viongozi wa chini. sio anapotoka kiongozi wa chini ndani ya chama mnasema hana madhara kwa kuwa tu ni ngazi ya chini wakati wanaposhinda mnawashangilia na kujitangaza kupitia wao kama kwenye hii post.
 
Munamuua mzee wa kiraracha!!!muoneeni huruma mzee wa watu,anategemea hapo tu! Ila kwa bumbuli nimekubali haswaaa.
 
Yaani nikisikia habari nzuri kama hizi huwa moyo wangu unafarijika sana...hongereni makamanda kwa kazi nzuri...wananchi na wapenzi wote wa chadema ni makamanda.moto ukiowashwa hautazimika japo maccm na mapoliccm kila siku yanaibua mambo mapya...yauongo na uzushi..ila wananchi walishaamka siku nyingiii..shukrani kwa nepi naunye anaye promote chadema bila yeye kujijua....viva chadema, viva makamanda woote.
 
Safi,Bado loliondo!

Loliondo mbona tayari?? Wana loliondo wenyewe wanasema bado chadema tu haijaamua!!! Hadi raha yaani,nilikuwa loliondo staki kuhadithiwa chochote kuhusu loliondo,niliyoyaona yanatosha kufanya conclusion.
 
vijana huu ni wakati wa kwenda vijijini kuchukua nchi kupitia chadema!
 
Back
Top Bottom