KUNDULE
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 318
- 177
Chama cha CHADEMA kimeigaragaza CCM katika kesi iliyofunguliwa na mgombea wa CCM kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea wa CHADEMA ndugu Banda Babo wa kata ya Kizota mtaa wa Relini.
Hakimu wa mahakama ya Mkoa wa Dodoma kaitupilia mbali kesi hiyo na mgombea wa CHADEMA kuibuka kidedea.
Hakimu wa mahakama ya Mkoa wa Dodoma kaitupilia mbali kesi hiyo na mgombea wa CHADEMA kuibuka kidedea.