CHADEMA yaigaragaza CCM kesi za Udiwani Jiji la Mbeya

Nani alikuwa mlalamikaji katika kesi hizo nne.
 
  • Thanks
Reactions: mwl
KESI za uchaguzi nilizotolewa maamuzi jana kwa kata NNE za IRINGA mjini CHADEMA imeshinda zote NNE na CCM Kuambulia 0. KATA HIZO NI KIHESA, MAKORONGONI, RUAHA na MWANGATA
SHKAMOO.jpg
 
KESI za uchaguzi nilizotolewa maamuzi jana kwa kata NNE za IRINGA mjini CHADEMA imeshinda zote NNE na CCM Kuambulia 0. KATA HIZO NI KIHESA, MAKORONGONI, RUAHA na MWANGATA
Hapo bavicha wataisifia sana mahakama ya Magufuli chini ya ccm
 
Generally hata uchaguzi mkuu walishinda, lakini kwakuwa wao ndio walishika mpini.

Nchi nzima upinzani ulishinda majimbo mengi sana isipokuwa hila tu za baadhi ya wakurugenzi ndio zilisababisha kutangaza matokeo kuwa ccm ni washindi, hovyo kabisa.
Katiba yetu mbovu sana, angalia boss anavyopandiliza makada na wakereketwa ktk madaraka hayo ya ukurugenzi na madas halafu utegemee nini ??!!
 
Back
Top Bottom