jamanieeee!!! Hebu pangeni matokeo yote ya marudio ili tuone tulivowagalagaza..
Ili wajitambue kuwa hii ni ishara ya safari (ccm)ya kuelekea kuzimuni.
#
PANGENI HAYA MATOKEO HALAFU TUM CC: YULE CHANGU WAO
Hii kata ndiyo kile kimtaa ambacho marehemu HOLACE KOLIMBA,aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha mapinduzi alikuwa anaishi. Pia Marehemu Williamu Mpiluka ,aliyekuwa mbunge wa Mufindi(CCM) alikuwa anaishi hapo. Nina huhakika familia zao mpaka sasa zinaishi hapo. Pia huku anaishi MANYERERE , pia Shule ya Mama Tibaijuka Babro JOHA girls ndiyo ilipo. Ongera Chadema
Siyo dalili nzuri hizi kwa chama chetu pendwa CCM
Ziara za Kinana mbona hazitusaidii kwenye chaguzi za marudio toka Sumbawanga,Mbezi na leo Kwembe?
Chadema ya nchi gani imeshinda? Maana nilisikia wanasema CHADEMA ya Tanzania inakufa sasa mbona kila siku ndo inashinda tu! Au zilikua propaganda tu za kisiasa ili kujifuraisha wenyewe?
Chadema ya nchi gani imeshinda? Maana nilisikia wanasema CHADEMA ya Tanzania inakufa sasa mbona kila siku ndo inashinda tu! Au zilikua propaganda tu za kisiasa ili kujifuraisha wenyewe?
CC: Nape Nauye + Juliana Shonza; CDM inakufa kila kona ya nchi!! ha ha ha !
Ccm ni kama mbuyu,kura za mijini hazitusumbui sana,wapiga kura wako vijijini,na ndo tunawekeza nguvu nyingi huku mjini mfanye mnavyoona inafaa,na katiba lazima ipite,leo tuko loliondo tukirudi ni mkoa mzima wa arusha hadi kieleweke
Wanaangaika na fisi hao
Wale magamba wa Lumumba hawajatia timu hapa.....
Na bado hizo ni mvua za rasharasha...desemba ni elininyo kabisa siyo tu wataacha kuingia huku JF bali watakimbia nchi kabisa nadhani wataelekea Somalia
Dalili ya mvua Mawingu, Matokeo ya Uchaguzi Serikali ya Mitaa ni dalili ya Oktoba 2015
Kwa ccm hizo ni salaam tosha kuwa fitina zao na kejeri kwa kutumia mgongo wa zzk sasa kwisha na hayo ndio malipo ya mungu
huyu Mmawia ana akili kuliko wewe Mmakonde THE BIG SHOW
Fisi yupi tena mkuu?baada ya komba wamepata fisi?