baba tawiree magamba wanakufa kifo kibaya saaaana.mzoga wa ccm hautakuwa na mazishi wala matanga utaachwa by the roadside utafunwe na mbwa koko na funza mpaka uwe udongo! na hapo utakapoozea huo mzoga hapatamea chochote sababu ya laana za viongozi na wabunge wao! CHADEMA HOYEE!!
mandamano yaliyofanywa kanda ya ziwa na kisha kuhamia nyanda za juu kusini ni pigo kubwa kwa ccem, kila unapoweza kupita katika maeneo hayo watu kwa takribani asilimia 80 wanazungumzia chama pekee kinachotegemea kuwarejeshea matumaini wananchi wake ni chadema,
wanajamvi mtaungana nami kwa kurejea kikao cha bunge kinachoendelea sasa, kila mbunge wa ccem hatoi hoja kwanza ni mpaka aelezee maumivu yaliyowapata kutokana na mandamano hayo,
chadema hao jamaa mmewatandika ngumi ya uso, mkimaliza bunge ni kuongeza nguvu ya mandamano mara mbili zaidi ili ccm itokomezwe kabisa , kwa hali ninavyoiona ccem itabaki simulizi kwamba kilikuwepo chama tanzania kilichokuwa kinaitwa ccem
I have a feeling you in for a Suprise..The popularity of CCM is at the lowest levels in ares where Chadema has demonstrated ...uchakachuaji utakua mgumu zaidi 2011 wait and be surprisedyou guys are dreaming!you will never remove CCM by demonstration! NEVER on EARTH!Tafuteni mbinu nyingine. Njia bora zaidi ni kuiba kura wakati wa uchaguzi!! Na hapa swali ni kwamba: mtaweza kuiba kura ilhali anayesimamia, anayehesabu na anayetangaza wooooooooote wanateuliwa na mshindani wenu?!!!