CHADEMA yafutika Kigoma

ACT NI KAMA CCK/CCJ haitafka mbali kwanza hakina mwaka tangu kianzshe

Chadema ni chama KIZOEFU NA KIZEEFU

Mm na cda damu damu
 
Hatutaki kura za waha kura ambazo ni za majungu ndiomana wapo nyuma kimaendeleo
Umeshafika kigoma hivi karibuni? Kwa sasa kg kuna maendeleo hongera Rais kikwete kwa kutukumbuka
 
Vyote kwa pamoja akuanzae mmalize

Ahaa kwahiyo Zitto anatumia ACT kuwamaliza CDM kwakuwa wamemuanza?

Kama vision yenu ndo hii amini nikuambialo hamtafika mbali....


Mmepoteza Dira....
 

Hivi ni "coincidence" tu au? kwanini walio wengi wanaotetea chama tawala(CCM) wana penda sana mambo ya ukabila na udini?????
 
Wewe uko kigoma ipi? Inawezekana unaishi pamoja na Zito huko Mwandiga nje ya mji. Maana uliyoandika kama ya wafu, mbona wezako wa hapa mjini majina ya Zito & Serukamba yaishakufaga kitambo tu!
 
Mtu yeyote anayekuwepo kwenye chama fulani et kwa sababu ya mtu fulani ni MJINGA,na MFINYU wa FIKRA.Ndo tatizo la kuwa na wanachama wasiojua chama ni kitu gani kikiwa kama ni taasisi.
Kazi sn kuwaongoza solid majority
 
ACT NI KAMA CCK/CCJ haitafka mbali kwanza hakina mwaka tangu kianzshe

Chadema ni chama KIZOEFU NA KIZEEFU

Mm na cda damu damu

CDM unakiitaje KIZEEFU wakati hakijatimiza walau miaka 25?
Kinazeekaje mapema kiasi hiki?
Waombe radhi wana CDM.
 

Wewe upo act ipi ya zzk au ya limbu?
 

Ndio njia ya kumtetea msaliti zzk?kamekaa kichawichawi kabisa
 

Tatizo wanakuwa na double standard
hawewezi kulijibu hili
#ACTNOW
 
Acha uongo wewe kama kweli.Zitto.ni mwamba kwanini ameamua.kubadilishana majimbo.na Serukamba?
Nakuapia hata Kigoma mjini alikokimbilia usidhani atapita kirahisi kama.anavyodhani.
By the way huko.Kigoma.Kaskazini ACT ina vijiji vingapi, jidanganyeni eti CHADEMA imekufa, kwanza ZZK aliikuta na ameamua kuiacha mwenyewe na hakuwahi kuijenga CDM huko Jimboni kwake
 
Imeandikwa amelaniwa mtu yule amtegemeaye mwandamu
 
Hivi huko jimboni kwa Zitto kafanya jambo gani linalomfanya anyenyekewe sana?...naomba kujua jibu kwa waliofika Kigoma na waishio huko

Hakuna lolote aliowafanyia
 
Kinaonekana kama CCM B hivi. Vision yao na malengo ni yale yale ya CCM ukiondoa sifa ya ufisadi.

Mmeishiwa sera, cuf nao mliwaambia hivyo hivyo ccm b, Leo mpo pamoja tuwaelewe vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…