Sir Kite 2
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 552
- 316
Umeandika maneno mengi kutaka kupotezea, lakini jambo hasa ulilotaka kusema ni kwamba Zitto na Peter Serunkamba wamekubaliana kubadilishana majimbo ya kugombea ubunge! Sasa mtu anayekaa na CCM kukubaliana kuhusu mahali pa kugombea, jina gani hasa linamfaa?Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
Hivi ACT vision yenu ni IPI? mission yenu nini?
Nyie Kama chama cha siasa malengo yenu makuu n yapi?
Kushindana na CCM? kushindana na CDM? au kushindana na vyote kwa pamoja??
Umeandika maneno mengi kutaka kupotezea, lakini jambo hasa ulilotaka kusema ni kwamba Zitto na Peter Serunkamba wamekubaliana kubadilishana majimbo ya kugombea ubunge! Sasa mtu anayekaa na CCM kukubaliana kuhusu mahali pa kugombea, jina gani hasa linamfaa?

Kwanini Peter serukamba anakimbia kigoma mjini , au ndio yale makubaliano waliyofikia kati ya ccm na zitto ?Baada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
Hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT na baadhi kuamua kurudi CCM,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama Hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,
jimbo hilo la kigoma kaskazini limeonekana kukamiwa sana na chama cha mapinduzi,huku makada wake maarufu hamisi betese,robinson lembo,paschal mahwago,peter serukamba wakiliwinda kwa udi na uvumba huku nyota anga'avu ikionekana kumwangukia peter serukamba,
acha unafiki wewe. Aliyekutuma kufanya ivo kafeli ajipange upya kuondoka watu wachache sio kufa kwa chamabaada ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kaskazini kwa tiketi ya chadema zitto kabwe kuondoka ndani ya chama hicho sasa ni dhahiri shahiri kuwa chama hicho kimepotea rasmi ndani ya mkoa wa kigoma,
hali hiyo inatokana na kundi kubwa la vijana waliokuwa wanakiunga mkono chama hicho kuamua kumwaga manyanga na kujiunga na chama cha act na baadhi kuamua kurudi ccm,huku wakisema wamechoka kuwatumikia wachaga,.
Aidha ni dhahiri kuwa jimbo la kigoma kaskazini sasa limeisha toka mikononi mwa chadema,iwapo mgombea anayetaka nafasi hiyo bwana yered fubusa atapitishwa na chama hicho kupeperusha bendera ya chama katika uchaguzi mkuu ujao,