GE2025 CHADEMA yafungua shauri kupinga maamuzi ya msajili wa vyama kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.

Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.

Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.

Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.

Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.

Kusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
 
Tehetehe, chama cha siasa kimegeuka LawFirm.

Kuna wanachama Mwanza, Arusha na Mbeya watafungua mashauri soon kupinga shughuli za chadema, kutakuwa na kesi karibu 7
 
Akidi haikutimia.Warudie kwa kuzingatia akidi
 
@Masaju ? au mahakama za Koome? Za Masaju hamna kitu. All in all, let them try!
 
Bahati mbaya sana kwa sasa hatuna mahakama bali genge la wahuni wanaojiita wasomi
 
Tehetehe, chama cha siasa kimegeuka LawFirm.

Kuna wanachama Mwanza, Arusha na Mbeya watafungua mashauri soon kupinga shughuli za chadema, kutakuwa na kesi karibu 7

Ninakazia futungo si watu wazuri.

Ngoja tusubiri:

Polepole vs mkata switch, anasema patachimbika.
 
Kusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
Hivi East Africa community Haina Mahakama? Ili kama hizo hazitendi haki kuwe na utaratibu wakuzipeleka kesi huko,au Mahakama ya Africa kazi yake Nini??...
 
Mahakama ipi itakupa haki wapi hali imewekwa na walioko ili kujihakikishia ni wao tu ndiyo wanaolamba asali?

Angalia Gaza au Ukraine. Unadhani ingekuwapo haki bin haki hali ingekuwa ilivyo huko?

Wapi vita dhidi ya futungo ikasuluhishwa mahakamani? Labda mbinguni!

Hii ni mithili ya kesi ya kondoo dhidi ya fisi, porini!
 
Kusubiri ruksa zao ambazo wakizitoa watashindwa uchaguzi hawawezi kukubali. Plan B ni muhimu. Wahuni si watu wazuri.
Mchungaji Malisa na Polepole wamempinga SAMIA ila naona Msajili kapiga ganzi utadhani anazalishwa
 
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, akiambatana na mawakili wa chama hicho, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu Kanda ya Manyara Agosti 20, 2025, wakipinga maelekezo ya barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kutoutambua uongozi wa chama hicho.

Barua ya Msajili imeelezwa kutotambua uteuzi wa Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Bara na Zanzibar pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu waliopitishwa na Baraza Kuu la CHADEMA Januari 22, 2025, kwa hoja kwamba uteuzi huo haukuwa na akidi ya kikatiba, kufuatia malalamiko yaliyowasilishwa na Lembrus Mchome, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga.

Akizungumza na wanahabari nje ya Mahakama, Golugwa amesema msingi wa shauri hilo ni kupinga maelekezo ya Msajili na kuiomba Mahakama itoe zuio la kutotekelezwa kwa barua hiyo.

Mahakama imetoa maelekezo kuwa uamuzi wa awali kuhusu maombi hayo utatolewa Agosti 28, 2025 saa 8 mchana.

Ikumbukwe kuwa vuguvugu la shauri hili linahusishwa na kesi iliyofunguliwa na Mchome mnamo Aprili 2025, akipinga mchakato wa uchaguzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA akidai haukufuata akidi ya kikatiba.

Tayari hbr yao, wamekuwa chama cha mahakamani
 
Tehetehe, chama cha siasa kimegeuka LawFirm.

Kuna wanachama Mwanza, Arusha na Mbeya watafungua mashauri soon kupinga shughuli za chadema, kutakuwa na kesi karibu 7
Wameshachanganyikiwa hao nyumbu, akili kisoda majinga hayo
 
Ila watu wa Mahakama wanajidhalilisha sana aiseeee. Sasa hivi hakuna tofauti ya hakimu/judge na Polisi aliyefeli form four..... wote akili sawa.

Ukiwakuta walivyochomekea na vinguo vya sagulasagula halafu wameagiza supu ya ng'ombe na chapati, utadhani watu wa maana kumbe matapeli tu
Hawa hawana utofauti na kina Lucas, Mwijaku, Mrisho mpoto na machawa wengine
 
Back
Top Bottom