CHADEMA yafanya Maandamano ya Amani Dodoma yakiongozwa na Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,286
222,336
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea.

Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi.


Mkoa wa Dodoma unatajwa kuwa miongoni mwa Mikoa Duni kabisa Nchini Tanzania, ambayo wakazi wake wanaishi katika umasikini wa kutupwa

Usiondoke JF kwa taarifa zote kuhusu maandamano hsya na Tuvitu vitu.

Kumekucha:

 
Siku zote unatupanga tusiondoke mwisho wa siku hakuna mubashara ukiletacho mpaka siku ya tatu u-edit picha!
 
Na dodoma pia
 
Dodoma imedumazwa na akina Ndugai
 
Si zinajenga chama, ma ofisi yanajengwa kuanzia kwenye mashina, vijiji hadi kata, unataka nini zaidi..?
We ni mwenda wazimu haswa, CHADEMA hawana ofisi? CCM inatumia mafuta ya DED/RAS mikoani pamoja na service za magari, nje na michango ya lazima kwa wafanyabiashara, hukumsikia Makonda alivyosema wanafanyabiashara wanaichangia CCM kwa hofu? shame on you we chawa usiye na akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…