CHADEMA yabakiza karata moja ya kucheza na mabadiliko kupatikana

Siku hizi makada wa magamba mmejua ukitaka kupata wachangiajia unaazisha Uzi unaoihusu chadema au viongozi wake. Ama kweli mnajitaidi kubuni na huo ni GREAT THINKER BRAVOOOOO! Magamba.
 
Uko kazini ee! Na wewe umeahidiwa kulipwa bei gani kwa kila post? Manake wapo humu na wenzako wengi tu na akili zao za kushikiwa. Anyway, hukukosea hata jina, "Mmemkwa" ni elimu itolewayo kwa wale walioikosa, rudi class ukajipange upya, humu sio sehemu ya kuja na hoja dhaifu kama hii, zaidi utakuwa unawatafutia watu ban wakati nawe ukiachwa hoi!
 
Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th November 2011
Posts : 11

Rep Power

Karibu jamvini mkubwa!!!Propaganda achana nazo kabisa
 
Mapendekezo yangu chuo kilichompatia Willbroad slaa udokta kimnyanganye kwani ana dhalilisha hadhi ya hicho chuo nawasilisha

Hakupewa, alitunukiwa baada ya kufaulu. Tofautisha udokta wa Dr. Slaa na huu mwingine ambao mtu anapewa na wazungu kwa kuwa amekuwa kibaraka mzuri, shika adabu yako
 
No one is great than our party! that is cdm, even mbowe, slaa, or even your zitto! so if Nape is your forerunner in that ccm of yours, then you are in fifth world class.
 
Mapendekezo yangu chuo kilichompatia Willbroad slaa udokta kimnyanganye kwani ana dhalilisha hadhi ya hicho chuo nawasilisha

Utakapoacha kufikiria kwa kutumia masaburi ndo utajua kinachoendelea nyambaf mkubwa wewe
 
Hivi maandamano bado yanatusaidia sana CDM? Nadhani watu wameanza kuichoka hii style yetu - leo maandamano kesho mahakamani, tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Magamba
 
Hivi maandamano bado yanatusaidia sana CDM? Nadhani watu wameanza kuichoka hii style yetu - leo maandamano kesho mahakamani, tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Magamba
 
Kwani uongo jamani mwe si kweeeli je mmeandamana Dar??? Je Mbowe alisema alikuwepo NMC??? Je polisi walimkuta wapi slaaa??????

Wewe kweli kilaza sijapata ona!! Kwani Mbowe kasema hakuwepo kwenye mkutano au hakuwepo uwanjani wakati wanakuja kuwakamata. What's wrong with that?? Halafu Slaa kukutwa kwenye gari kuna tatizo gani pia??
 
Hivi maandamano bado yanatusaidia sana CDM? Nadhani watu wameanza kuichoka hii style yetu - leo maandamano kesho mahakamani, tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Magamba
 
Hivi maandamano bado yanatusaidia sana CDM? Nadhani watu wameanza kuichoka hii style yetu - leo maandamano kesho mahakamani, tubadilishe mbinu ya kukabiliana na Magamba
Duh!na wewe ni CHADEMA kumbe karibu sana mkuu!!
 
Back
Top Bottom