ally ngomanzito
Member
- Oct 7, 2015
- 86
- 108
Chama cha demokrasia na maendeleo kimeanza program maalumu ya kutoa mafunzo kwa viongozi wa chama na madiwani nchi nzima.
Akiongea na waandishi wa habari, afisa habari wa CHADEMA ndugu Tumaini Makene amesema mafunzo hayo yameanza tangu march 16 na timu za wataalam kutoka makao makuu zimegawanywa kanda zote za Tanzania ili kuhakikisha wanafika kote kwa wakati.
Picha chini ni za madiwani na viongozi wa Tarime na Babati wakiendelea na mafunzo hayo ya utendaji.