TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
nje wanaosubiria kuingia bungeni 2015 wako zaidi ya 100 hivi, mimi ni mmoja wao. Subiri uöne mkuu!
Mafili hii ina tofauti gani na wabunge wengine wanaosimama, wanaunga mkono hoja asilimia mia kisha wanaikosoa asilimia mia (bila kutaka mabadiliko au kutoa mapendekezo) mwisho wanaunga mkono hoja na kuketi?Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Waziri wa Kilimo Mhandisi
Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango
ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini
kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa
kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Lwakatare na ludovick style...magaidi wabaya sana....Umakini wao uko pia kwenye Kuteka, kutesa, kung'oa kucha na kutelekeza watu kuleeeee msitu wa ....mabwepande..
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Huyu waziri anapaswa kusikiliza Ushauri wa mstahiki mbunge Livingstone Lusinde alisema kazi ya kuwajibu Chadema aachiwe yeye na Mwigulu si umeona wengi wao wamekimbia bunge sasa wako Iringa kuchochea ghasia baada ya makombora ya Mwigulu kulenga shabaha na kuteketeza mpaka ghala lao la silaha feki. Mawaziri tekelezeni Ilani za Uchaguzi kundi la wahuni woteamekabidhiwa Mwigulu akisaidiwa na Mstahiki Lusinde, wakijitutumua tunamuongeza Engineer Stela Manyanya (RC). Sasa hivi wako nyang'anyang'a wanasubiri uamuzi wa kuzima mashine ya kupumulia October,2015 Dkt Jakayaatapomaliza shift yake!
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa CHADEMA kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
HALMASHAURI 70 kati ya 136 nchini, zinakabiliwa na janga la njaa. (Halmashauri zenye njaa ni ailimia ngapi?)
Chiza Alisema tathmini iliyofanywa na serikali kwa kipindi cha Septemba 2012 na Januari 2013, ilibaini kuwa halmashauri 47 katika mikoa 19 zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula. Chiza aliitaja mikoa yenye upungufu mkubwa wa chakula kuwa ni Arusha, Kilimamnjaro, Manyara, Morogoro, Lindi, Tanga, Mtwara, Pwani , Shinyanga, Simiyu, Tabora, Mwanza, Mara, Kagera, Iringa, Mbeya, Rukwa, Dodoma na Singida. (Hivi mikoa ya G5 unaifahamu? je yaweza kuwa na njaa?, Huo ukame ulisemwa bungeni ulitokea lini tanzania na ulielezwa kwa vyombo vipi vya habari, Je Madhara ya kuzuia mipaka kuuza mazao yaliyozalishwa na G5 wameyaongeleaje hiyo serikali yetu makini? )
Katika bajeti yake, wizara imeomba kiasi cha sh 328,134,608,000 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2013/14.Mchanganuo wake sh bilioni 247 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida (Yepi, Chumia tumbo ambayo ni mishahara, posho n.k ) na sh bilioni 81 ni kwa ajili ya shughuli za maendeleo. (Ni asilimia ngapi ya fedha? Serikali makini hujali Matumizi ya kawaida kuliko Maendeleo?)
Chiza alisema katika matumizi ya kawaida sh bilioni 210.1 ni kwa ajili ya matumizi mengine (Yepi? Hata mimi siyajui), sh bilioni 25.6 (mishahara ya wizara) na sh 11.3 (mishahara ya bodi na taasisi).
Alisema kuwa kati ya fedha za bajeti ya maendeleo sh bilioni 23.9 ni fedha za ndani na sh bilioni 57.1 ni za nje.(Serikali makini hutegemea maendeleo kwa fedha za wafadhili?)
Mpaka hapo sina koment soma na chambua mwenyewe
Kuisema chadema kuwa inalalamika umekuwa wimbo wa taifa kwa ccm..... Maana wanakurupuka tu kisa ni upinzani ndo wametoa hotuba hiyo..
Waangalie kwa makini mapendekezo yapo
kamulize nape kamanda ni wa jeshi gani