Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Rejao
Chadema leo wanaweza wakafanya kitu kizuri ukaapreciate ambacho kweli kimapose threat kwa serikali,especilly Zitto na Mnyika but baada ya muda wanaharibu completely.
Rejao
Wangewatumia wananchi kuwaelezea hayo mapungufu na wananchi wafanye maamuzi cuz wao ndio waajiri wao. Kitendo cha kwenda Ikulu kimefanya serikali kurelax.
mkuu mi nadhani walikua sahihi,kwani unapo dai haki unatakiwa uidai hatua kwa hatua kutoka nje ilikua hatua ya kwanza kwa lengo la kutokua katika kundi la kuupitisha mswada,lakini pia njia ya pili ni kwenda kumlalamikia rais juu ya haki ya wananchi kupokonywa,then ni kwenda kuishitaki serikali kwa wananchi kwani wao ndio wawakilishi wao kwa serikali,mwisho ni nini wananchi wataamua hapo ndipo nguvu ya umma yenye mkono wa mungu husimama kitete mpaka kieleweke
Mimi ni MCHADEMA ila kitendo cha Chama changu kwenda Ikulu na Kuongea na JK kimeniuthi na kunikatisha tamaa. Haikuhitajika hata elimu ya darasa la saba kujua eti Rais yule yule aliyewashinikiza wabunge wake wapitishe mswaada eti atagoma kuusaini mswaada mara baada ya kupitishwa na wabunge wake. Mbowe, Lissu, Baregu, Mnyika, Safari, Arfi, etc kwa kweli imani yangu kwenu imepungua sana.
Mimi ni MCHADEMA ila kitendo cha Chama changu kwenda Ikulu na Kuongea na JK kimeniuthi na kunikatisha tamaa. Haikuhitajika hata elimu ya darasa la saba kujua eti Rais yule yule aliyewashinikiza wabunge wake wapitishe mswaada eti atagoma kuusaini mswaada mara baada ya kupitishwa na wabunge wake. Mbowe, Lissu, Baregu, Mnyika, Safari, Arfi, etc kwa kweli imani yangu kwenu imepungua sana.
Tukubali tu chadema kwa issue ya katiba wamechemsha. Kitendo cha kutoka bungeni, then baada ya muda wakaenda kujikomba kwa JK ikulu, kimefanya kila mtu akose na imani nacho
Tukubali tu chadema kwa issue ya katiba wamechemsha. Kitendo cha kutoka bungeni, then baada ya muda wakaenda kujikomba kwa JK ikulu, kimefanya kila mtu akose na imani nacho
Tip walizozipata ikulu zimeshaisha?
Lugha chafu za nini? kubali mapungifu ya chadema. They are all human beings n not gods. Kwa hili la kwenda ikulu tukubali walikosea.Period!!!
Lowasa jana kazungumza kushukuru kuona namna mchakato wa katiba mpya unavyokwenda kwa amani. Kwamba kwa nchi zingine huwa inapelekea machafuko. Lakini nilimsoma lowasa hapa ni kwamba kama cdm wanataka utawala hapa palikuwa mahala pake. Lakini uamuzi wa cdm kwenda ikulu umepunguza sana nguvu ya mabadiliko kupitia agenda ya katiba. Binafsi nakubaliana na mh kafulila kuwa katiba tunayotaka watanzania haiwezi kutoka mikononi mwa sisiemu na serikali yake tena kwa mazungumzo bila tishio la nguvu ya umma. Huu ndio ukweli jamani. Sijui uongozi wa juu unatazamaje sura hii. Labda watwambie kwamba hapo walipofika ndio mwisho wa ujasiri wao mbele wanaona hofu ya moto tuweke wengine mana kila watu na jukumu lao. Nilisikitika sana kusoma kwenye facebook kuona viongozi wa juu mnatoa maneno ya matumaini kumsifia mbowe na jk kwa kufanikisha mazungumzo. Nilisikitika zaidi kuona chama kinasaini maazimio yale ambayo kwa niaba ya cdm amesaini mnyika na kwa jk amesaini nchimbi. Pale sikuona azimio la maana kwa chama kuangusha wino. Ilikuwa nafuu kikao kingemalizika bila mwafaka kama mazimio yenyewe ni yale eti pamoja na muswada kusainiwa lakin marekebisho yafanyike. Sasa kwani hicho si kitu cha kawaida kwa sheria yeyote? Kwani ilikuwa lazima kwenda ikulu ili kupata hilo azimio jamani? Tusirefushe safari jamani. Saa ya ukombozi ni sasa. Umma upo tayari. Viongozi mnalegalega. Uhuru hauji kwenye sahani. Cdm ni muda kujisahihisha. Hasira ya umma imezidi hasira ya viongozi wa cdm kwa ccm. Hapa ndipo kuna mlinganyo wa kutafutiwa majibu mapema.[/QUOTE
Oya, we February usijifanye huelewi. Kosa la CDM kwenda ikulu ni nini? Jamaa wamekwenda kupeleka ujumbe tuu ili baadae wasilaumiwe kama wananvyolaumiwaga. Mbona ni jambo rahisi tuu. Mapambano wakati mwingine yanaanza na mazungumzo hata kama upande mmoja umeshachukua maamuzi. Baada ya hapo njia nyingine zinafuata. CDM wametoka bungeni wakawa wanapigwa vijembe na Magamba na wake zao CUF. Wameenda ikulu wamepuuzwa, hatua ya tatu ndio hii ya kurise awareness kwa public alafu hatua nyingine watatupa. Binafsi nawaunga mkono na nawapongeza kwa kwenda kisayansi sasa ivi. Magamba kama wana akili wakae chini wajitafakari katika hili sakata la katiba mpya.
Lowasa jana kazungumza kushukuru kuona namna mchakato wa katiba mpya unavyokwenda kwa amani. Kwamba kwa nchi zingine huwa inapelekea machafuko. Lakini nilimsoma lowasa hapa ni kwamba kama cdm wanataka utawala hapa palikuwa mahala pake. Lakini uamuzi wa cdm kwenda ikulu umepunguza sana nguvu ya mabadiliko kupitia agenda ya katiba. Binafsi nakubaliana na mh kafulila kuwa katiba tunayotaka watanzania haiwezi kutoka mikononi mwa sisiemu na serikali yake tena kwa mazungumzo bila tishio la nguvu ya umma. Huu ndio ukweli jamani. Sijui uongozi wa juu unatazamaje sura hii. Labda watwambie kwamba hapo walipofika ndio mwisho wa ujasiri wao mbele wanaona hofu ya moto tuweke wengine mana kila watu na jukumu lao. Nilisikitika sana kusoma kwenye facebook kuona viongozi wa juu mnatoa maneno ya matumaini kumsifia mbowe na jk kwa kufanikisha mazungumzo. Nilisikitika zaidi kuona chama kinasaini maazimio yale ambayo kwa niaba ya cdm amesaini mnyika na kwa jk amesaini nchimbi. Pale sikuona azimio la maana kwa chama kuangusha wino. Ilikuwa nafuu kikao kingemalizika bila mwafaka kama mazimio yenyewe ni yale eti pamoja na muswada kusainiwa lakin marekebisho yafanyike. Sasa kwani hicho si kitu cha kawaida kwa sheria yeyote? Kwani ilikuwa lazima kwenda ikulu ili kupata hilo azimio jamani? Tusirefushe safari jamani. Saa ya ukombozi ni sasa. Umma upo tayari. Viongozi mnalegalega. Uhuru hauji kwenye sahani. Cdm ni muda kujisahihisha. Hasira ya umma imezidi hasira ya viongozi wa cdm kwa ccm. Hapa ndipo kuna mlinganyo wa kutafutiwa majibu mapema.
Lugha chafu za nini? kubali mapungifu ya chadema. They are all human beings n not gods. Kwa hili la kwenda ikulu tukubali walikosea.Period!!!