Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Mbunge wa mlimba kupitia CHADEMA, Suzan Kiwanga katika namna ya kushangaza sana ameshindwa kabisa kutaja kiwango cha fedha alichokuwa akikisoma wakati akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango.
Kiwanga alishindwa kutaja 11,070 licha ya kurudia kama mara tano kwa style tofauti. Spika alilazimika kuingilia kati kumnusuru baada ya Wabunge kushikwa mshangao namna Suzan alivyoshindwa kusoma data hizo.
Kuna wakati alisoma kuwa ni laki moja, baadaye akaamua kutaja herufi moja moja (tarakimu) bila mafanikio, akarudia kutaja kwa maneno na kurudi kwenye tarakimu bila kufanikiwa.
Hongera Spika kwa kuwa mwelewa na kuokoa jahazi la CHADEMA