Ndg matumaini yangu ni wazima na mnaendelea vizuri katika jukumu la kujenga taifa.
Nimejaribu kutafakuri hali ya kisiasa ya Chama kikuu cha upinzani kati ya mwaka 2010 na hivi sasa kiufupi naona kuna pengo kubwa sana yaani namaanisha CHADEMA ya 2010 ilikuwa na Nguvu mno ukifananisha na hii ya leo.
Sijajua nini tatizo ila sio mbaya kama wana jamvi tukae chini na tutafakari kwa staha na unyenyekevu ili kujua kipi kimesababisha CHADEMA kupoteza Nguvu iliyo nazo kipindi hiko,,,naogopa yasije kuisha kama ilivoisha NCCR.
Ni fikra zangu naomba zisinishurutishe..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nafuu umeliona hilo..Small minds discuss people
avarage minds discuss events
Great minds discuss ideas...!
Ukitaka kujua idadi ya wapumbafu tz nenda kadema maana wamejazana huko wakisubiri maandamano
kwani wewe siyo --------? huwezi kuiunga CCM mkono kama upstairs upo sawaUkitaka kujua idadi ya wapumbafu tz nenda kadema maana wamejazana huko wakisubiri maandamano
Hakula lolote ni UMBUMBUMBU tu wa viongoz wa CHADEMAwanajua kitu gani wanataka
Kaka unakosea sana unapo muita mwenzio mbumbumbu kisa yupo mlengo mwengine.....jaribu kutafakari juu ya maandishi yako hapo juu!!!Mtu yeyote mwenye ubongo unaofanyakazi vzuri tz Na hasa kjana makin...Ni lazma aishabikie cdm ktk maisha ya safar yake yote dunian.sizungumzii mwanaharakati..mwanamapnduz wala mageuz Bali aliye timamu.Tzia Ni tayar taifa lenye tabaka kubwa...mbumbumbu pekee utabaki Ccm kama watu Wa kalenga Na kesho chalinze Ni ubwege ambao dhamb yake itashugulikiwa Na mapnduz ya kjesh in the near future trust...tuache blah blah tukubali mabadiliko no matter what???