GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Mh, nimepita tu nawahi kugombania daladala...nitarudi nikishafika gongo la mboto.
Wendawazimu wote si lazima waokote makopo. Unafanana fanana nao kiaina. Akili yako kama inapulizwa na upepo haijatulia.Si hilo jipya , au mchicha mwiba !
Huko Chadema taratibu ulofa wake utaonekana...Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.
Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ' muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki'wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling'ang'ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.
Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14
Huko Chadema taratibu ulofa wake utaonekana...
Kimbunga cha Chadema kimemtia kizunguzungu, mdakeni asianguke!Mkuu unaongea kama Shekhe Mustafa Shaban wa DODOMA.
Kamanda, huyo shekhe amehusu chadema? Mpe pole zake!Mkuu unaongea kama Shekhe Mustafa Shaban wa DODOMA.
Kamanda, huyo shekhe amehusu chadema? Mpe pole zake!
Kwa kelele zinazopigwa hapa JF, hapana shaka Manyerere, ameitia aibu kubwa Chadema, zaidi ni wazi kuwa ameshindwa kabisa kuweka mikakati kwa wamachinga wa Jiji la Mwanza. Asione tabu kutafuta washauri hata kama wapo nje ya Chadema! Kwani lengo ni kuondoa kero tu za wananchi!Hahahahahahah Shem unamajibu sana wewe! Ana kadi ya kijani yenye nembo ya jembe na nyundo!
Kwa taarifa yako, Mkurugenzi ni mtendaji tu kwa Meya na Madiwani!Nadhani mchezo ni ule ule mkurugenzi wa manispaa ya mwanza aakwamisha kila kitu ili chdema waonekane wameshindwa kazi hilo ni angalizo kwa halmashauri zingine zinazoongozwa na chadema. Hayo ya kukwamisha yalishatokea hata karatu wanajua michezo yenu
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata meya ambaye ni kipenzi cha wananchi na mchapa kazi mahiri.
Meya huo, ameshindwa kazi mapemaaa hata hakujacha kwa wananchi wa jiji la mwanza kumzomea kwa kusema ' muondoe , mshushe,msaliti mkubwa huyo na hatumtaki'wakati Slaa alipokuwa kwenye mkutano baada ya maandamano ya hivi karibuni jijijini humo. Kwa hili yaonyesha CHADEMA hawakuwa makini kuchuja na kufanya utafiti wa kutosha yupi anae faa kuwa meya, badala yake walikurupuka tu kwa vile jamaa ana hela zake. Na hii bila shaka aliwanunua wajumbe wa mkutano na kupitishwa. Mling'ang'ania mmeshindwa waacheni wenye uzoefu na kuongoza wawaongoze, na hao si wengine ni CCM.
Source : Mwananchi 26th Feb,2011 – pg 14
Haaaa haaaa haaaa...! Mmeshanza visingizio sio!Nilikuwa najiuliza kuna tofauti gani kati ya Gaddafi na CCM? sasa nimepata jibu kuwa wote ni wamoja. Kwa kuwa wote wanatumia mbinu moja nayo ni ku-hire MERCENARIES Japo Gaddafi yeye anawatumia kuua raia wake, CCM wanawatumia kuzomeazomea kwenye mikutano ya CHADEMA