assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
Nguvu ya umma wenzako wapo pale Msumbiji kisiwani nenda kaungane naoHapo inahitajika nguvu ya Umma tu sasa. Hakuna cha mahakama wala nini
Kwa katiba hii hakuna mahakama ya kuhoji matokeo ya rais ccm wanajua hivyo ndo maana wanaruhusu hayo ccm inajua imepoteza uhalali wa kukubalika ndo maana inafanya hayo ili hayo yasitokee ni lazima nguvu iamue na kupata support kutoka jumuiya ya kimataifa
Uzuri Rais Lissu ndio sector yake hiyo,CHADEMA nimeona mnalalamikoa suala la mawakala wenu kufanyiwa figisu na kuambiwa hawawezi kuingia vituoni.
Badala ya kulalamika mtandaoni, msichelewe chukueni irregularities zote muwahi Mahakama Kuu leoleo.
Mnyika fanya press conference haraka kuiambia dunia juu ya hujuma kwa Mawakala wenu.
Lianzishe kamanda, mbona una pump tu nyuma ya keyboard.Hapo inahitajika nguvu ya Umma tu sasa. Hakuna cha mahakama wala nini
hahaha hawa jamaa banaNguvu ya umma wenzako wapo pale Msumbiji kisiwani nenda kaungane nao
Kisha mje mkiwa na bunduki kabisa
Awana gharama wale unavaa yebo yebo yako tu kisha unakamatia RPG