Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,255
Halafu utakuta maskini ya Mungu ana yake makubwa zaidi yanamsibu. Anaacha kuhofia hayo, anafurahia kuzuiwa kwa mkutano ambao usingepunguza hata theluthi ya madhila yake. Haya ni matumizi mabaya ya chuki kwa kweli.Sasa umefurahia nini sasa??.
Nimefurahi kwa kuwa watazuia maambukizi ya corona, mikutano ni moja ya kisababishi Cha kusambaa kwa covidSasa umefurahia nini sasa??.
Ninafurahia kuzuiwa kwa kuwa mkutano huo ungesambaza covidHalafu utakuta maskini ya Mungu ana yake makubwa zaidi yanamsibu. Anaacha kuhofia hayo, anafurahia kuzuiwa kwa mkutano ambao usingepunguza hata theluthi ya madhila yake. Haya ni matumizi mabaya ya chuki kwa kweli.
Sababu ni zile zile toka enzi za jiweWamezuia tarehe hiyo KUTOKANA na nini? Mbona hawajamlizia sababu ya kuzuia?
Mwendazake akiwa hoi ndio alikwambia corona ipo?Nimefurahi kwa kuwa watazuia maambukizi ya corona, mikutano ni moja ya kisababishi Cha kusambaa kwa covid
Ukiona mtu mwenye akili zake anamsifia Bashite basi anza kumuondoa kwenye watu wenywe busara.Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.
Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe
Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?
View attachment 1753528
Kwa taarifa yako tayari rais Samia ashalijua kundi lenu kuwa ni kundi hatarishi .Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.
Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe
Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?
View attachment 1753528
Mnasema Kuna corona alafu mnataka Tena watu wakusanyane
Sababu ni zile zile toka enzi za jiwe
Kwani Tanzania kuna corona?Nimefurahi kwa kuwa watazuia maambukizi ya corona, mikutano ni moja ya kisababishi Cha kusambaa kwa covid
Nakuona unavyo fanya yakoStupid u
Hata ukifanyaje tushakuingiza kwenye kitabu cheusiTunashirikiana wote, Kama nyie vichwa ngumu fanyeni muone
Kwani 40 imetimia? Ya shujaa wa Afrika?Jamani si kuna CORONA jamani msimamo wa CHADEMA sasa imekuwaje kushiba kambale Ubaruku na kupata nguvu ya kuitisha Makutano wa hadhara isitoshe saizi ni muda wa kuvuna mazao yetu shambani