Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,287
- 2,437
Leo trh 8 Des 2014 ilikuwa ni uzinduzi wa Kampeni za Chsdema uchaguzi serikali ya mtaa Sinza C.
Kwa kawaida mikutano hii hufanyika ktk eneo wazi maarufu jirani na Ukuta wa Posta.
Imenishangaza kuona leo wamefanyia eneo la kupaki magari nyumbani kabisa kwa M/kiti sasa wa serikali ya mtaa mzee Omart Magembe.
Imenisikitisha mzee huyu amefiwa na binti na kwa kupigwa short ya umeme laki spika zimefungwa usawa getini kwake na kana kwamba hakuna kitu kinachoendelea.
Nadhani walitaka kupuleka ujumbe fulani bahati mbaya wakazi wa mtaa wamesusa wakabaki pekee yao wengi wakiwa viongozi wa mitaa mingine ya Sinza.