IYOMBO
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 381
- 218
Ni katika muendelezo wa harakati za kuingia Ikulu ambapo mh.john John Mnyika anatarajia kufanya mkutano mkubwa katika halmashauri ya mji mdogo wa ITIGI uliopo Singida,kamanda mnyika ataambatana na makamanda wa Mkoa wa Singida tarehe 26/4/2015 siku ya Jumapili, hivyo wananchi wote wa Itigi pamoja na viunga vyake mnakaribishwa ili kuwasikiliza watetezi wa taifa ili muweze kupata tumaini jipya.
Tulianza na Mungu,tupo na Mungu na tutaingia Ikulu na Mungu.
Tulianza na Mungu,tupo na Mungu na tutaingia Ikulu na Mungu.