Chadema waunguruma kata ya kiwanga

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
katika lala salama uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya kiwangwa bagamoyo, makamanda wapo kijiji cha bago kuhakikisha ushindi hapo kesho. hakuna kulala cdm mpaka kieleweke.
 
Hii safi sana. Kiongozi gani anafunga kampeni huko kiwangwa?
 
katika lala salama uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya kiwangwa bagamoyo, makamanda wapo kijiji cha bago kuhakikisha ushindi hapo kesho. hakuna kulala cdm mpaka kieleweke.
Tujuze hali ikoje kwa upande wa CDM kuna uwezekano wa kushinda huko?
 
Mkuu huku kwetu bagamoyo- Msoga ni kugumu sana huwezi hata kutabiri. Si unajua ndiyo kwao na M.K.WERE? Watu walisharidhika ma maisha yao na mateso yao isipokuwa mimi tu!
 
katika lala salama uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya kiwangwa bagamoyo, makamanda wapo kijiji cha bago kuhakikisha ushindi hapo kesho. hakuna kulala cdm mpaka kieleweke.
Asante kwa taarifa mkuu, japo wakwere hawawezi muangusha ****** mkuu!
 
makamanda gwakisa. ismail na wengine hakisheni ushinde mbele ya wacheza ngoma hayo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom