Elections 2010 Chadema watumie rangi nyeupe pe kwenye mikutano yao!

Lakini itakuwaje kama wataona hawataki kubadili rangi na ni usumbufu wakati wao wanataka kuonekana ni wapiganaji zaidi? na hivyo kutaka magwanda zaidi ambayo nadhani yanawagawa anyway.. kwa sababu ukiondoa viongozi tu sijaona wanachama wakiwa wamevaa magwanda hayo; hata jeshini mavazi ya wanajeshi na maafisa wao yanafanana ukiondoa vyeo.. ndio maana njano na kijani ya CCM inafanana hata na mama mtu ambaye hana nafasi yoyote ndani ya CCM. Hii inaitwa political connection..

kwa wao kupenda kuvaa magwanda wanajigawa na wananchi wanaotaka kuwaongoza.

sikweli hapo,wanachama wengi wanapenda magwanda,mimi nafikiri tatizo ni gharama,kushona combat siyo chini ya elfu 40.Ni watanzania wangapi wanaweza kuwa na uwezo huo,ukizingatia vyama vya upinzani ni vyama vya walalahoi.

Lakini nimejionea mabadiliko makubwa sana kipindi hiki,wanachama wengi hata wapenzi wametaka kushona,tatizo lilijitokeza mtaalamu wa kuyshona bado hawajawa wengi.
 
Back
Top Bottom