Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,035
Shibuda hana madhara yoyote kwa sasa yuko sawa na Dr. Augustino Mrema lolote analosema tutakuwa busy na story na sms kama jana tulivyokuwa busy wakati wale wabunge wa CCM waliosokomezewa mic wachangie kwa lazima coz hawajawai kuongea tangu bunge lianze sasa wanapewa air time ya kujichoresha mbele ya wapiga kura wao juu ya swala hili la mswada wa katiba.Juzi wabunge watukufu wa CHADEMA walitoka ndani ya ukumbi wa bunge kwa sababu serikali na CCM wanataka kuburuza mchakato wa kupata katiba mpya. Mara ya kwanza wakati wa kukataa posho Mh. Shibuda aliwaponda na hakutoka nje kuungana na wenzake. Sasa ningependa kujua kama juzi naye alitoka nje, alikula pini au alikacha mapema.
Makamanda wanaokimbia uwanja wa vita na kwenda chooni kuzungumza.
Huo ni unafiki na upuuzi wa hali ya juu sana kwa Chama kama Chadema. Kama kweli wanajiamini kwanini wasibaki mlemle bungeni kuleta mnakasha ulio bora. Sasa kutoka kwao nje kunawasaidia nini wananchi na wakti muswada ndio hivyo tena unapita bila kipingamizi.
Nakupa pole na Chadema yako kwa koga wenu wa kuongelea barazani tena mchana kweupeeeeeeeee.
Alitoka na alikuwepo kwenye ile kushikana mikono kwa wabunge wote wa chadema na nccr,alikuwa akiimba kabisa.Asingetoka,ccm walivyo,wangemuweka wa kwanza kuchangia.Nadhani wazee wa chadema wamemuonya,naona tangu kikao hiki cha bunge kianze mzee ametulia.Na pia asingetoka magazeti mengi yangeandika issue hiyo.Juzi wabunge watukufu wa CHADEMA walitoka ndani ya ukumbi wa bunge kwa sababu serikali na CCM wanataka kuburuza mchakato wa kupata katiba mpya. Mara ya kwanza wakati wa kukataa posho Mh. Shibuda aliwaponda na hakutoka nje kuungana na wenzake. Sasa ningependa kujua kama juzi naye alitoka nje, alikula pini au alikacha mapema.
Jukwaa la katiba liongoze mjadala na bunge la katiba ndilo lipitishe. Yaani bunge la katiba huundwa na wananchi bila kufuata vyama, bali wananchi wote kwa makundi yao huwakilishwa. Bunge hilo litakuwa na wawakilishi wa dini zote, asasi za kiraia, kila wilaya, na kila mkoa, kila chama cha siasa, taasisi za elimu kama vyuo vikuu, watoto, walemavu nk. Unajua katiba inawagusa wote, hivyo kupitisha katiba kwa kutumia bunge lililoundwa kwa misingi ya vyama vya siasa ni kuwanyima uwakilishi mamilioni ya waTZ ambao hawako kwenye vyama vya siasa. Kumbuka waliopiga kura ni kama 6m out of over 19m waliotakiwa na out of over 45m tanzanians.mie nadhani jukwaa la katiba waongoze mchakato wa kuandaa katiba mpya, kisha upelekwe bungeni...ukajadiliwe na kupitishwa!
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
CHADEMA tuliwatuma bungeni kufanya kazi ya wananchi na ndicho wanchaofanya. Sasa hivi c wakati wa kubuluzwabuluzwa lazima washike adabu kama walizoea ni kipindi hicho cha nyuma
Mwisho wa magamba na likatiba magamba lao ni 2015.
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.
mkuu, kama vp ungekitemea mate usoni. Kinakera hiki!MAKINDA ETI ALIIAMBIA KAMATI ya bunge katiba na sheria HAIWEZI ZUNGUKA KTK KANDA 10 KUKUSANYA MAONI KWA KUWA YEYE YUPO SAFARINI INDIA KUWAANGALIA WAGONJWA AKINA MWANDOSYA!source bbcnews!bi koroboto unanisikitisha sana kwa akili finyu
Mrema katoka siamini! labda alikuwa kalala anamwaga maudenda kushtuka anakuta watu wanatoka akafikiri bunge limeahirishwa. Mrema sio mpinzani anaganga njaa.